Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,070 Reaction score 12,049 Mar 3, 2017 #2 simplehamis said: Wewe mtoto wa kiume....Umri unakwenda huo....Utatembea na mbegu mpaka lini....la sivyo utaitwa mjomba hadi unazeeka. Chanzo: Kizingiti Click to expand... Haya ndio matokeo ya kuwa na RC anayetumia cheti cha mtu mwingine.
simplehamis said: Wewe mtoto wa kiume....Umri unakwenda huo....Utatembea na mbegu mpaka lini....la sivyo utaitwa mjomba hadi unazeeka. Chanzo: Kizingiti Click to expand... Haya ndio matokeo ya kuwa na RC anayetumia cheti cha mtu mwingine.
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 1,340 Reaction score 1,378 Mar 3, 2017 #3 simplehamis said: Wewe mtoto wa kiume....Umri unakwenda huo....Utatembea na mbegu mpaka lini....la sivyo utaitwa mjomba hadi unazeeka. Chanzo: Kizingiti Click to expand... Wacha wee! Unataka kijana wa kiume afanye nini na hizo mbegu? Kama hajapata 'shamba' je? Ametulia kimkakati ali atumie hizo mbegu siku na kwa 'shamba' mwafaka.
simplehamis said: Wewe mtoto wa kiume....Umri unakwenda huo....Utatembea na mbegu mpaka lini....la sivyo utaitwa mjomba hadi unazeeka. Chanzo: Kizingiti Click to expand... Wacha wee! Unataka kijana wa kiume afanye nini na hizo mbegu? Kama hajapata 'shamba' je? Ametulia kimkakati ali atumie hizo mbegu siku na kwa 'shamba' mwafaka.
Mbwa dume JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 6,289 Reaction score 10,987 Mar 3, 2017 #4 Mr.Junior said: Haya ndio matokeo ya kuwa na RC anayetumia cheti cha mtu mwingine. Click to expand... Yaani ni sawa na kwamba anatumia nyota ya mtu.![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
Mr.Junior said: Haya ndio matokeo ya kuwa na RC anayetumia cheti cha mtu mwingine. Click to expand... Yaani ni sawa na kwamba anatumia nyota ya mtu.![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
milioni milioni JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 1,845 Reaction score 1,066 Mar 3, 2017 #5 Mvua Hamna Tunasubiri Zinyeshe Mkuu Tupande
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,070 Reaction score 12,049 Mar 3, 2017 #6 Mbwa dume said: Yaani ni sawa na kwamba anatumia nyota ya mtu.![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] Click to expand... Halafu ana mbwembwe kumbe hakuna kitu.
Mbwa dume said: Yaani ni sawa na kwamba anatumia nyota ya mtu.![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] Click to expand... Halafu ana mbwembwe kumbe hakuna kitu.