platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,366
- 11,154
Tunasikia na tunaambiwa kwamba katika mahusiano ya mapenzi yahitajika wawili wapendanao wavumiliane na wachukuliane (kuukubali udhaifu wa mwenzako na kuuishi).
Je ni kwa kiwango kipi yahitajika umvumilie yule unayempenda?
Ni vitendo vipi unastahili uvivumilie na vipi useme hataa na kuvunja mahusiano?
Je hivi viwango vya kuvumiliana vinapimwa na mtu aliyeko kwenye mahusiano (mhusika) ama inategemea na principle alizojiwekea? (kwamba kwa hili sitalivumilia kama litatokea ).
Tusisahau pia neon hili kuvumiliana huambiwa pia wanandoa hata kabla ndoa haijafungwa.