Ni usafiri gani bora wa basi Mbeya - Dar?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,565
Reaction score
14,325
Morning.
Nauliza kwa sasa basi gani ni bora zaidi kufanya nalo safari ya Mbeya -Dar. Na nauli yake ni kiasi gani?
 
Nenda jangwani chukua fuso bei nafuu kinoma
 
Una option nyingi.
Sauli 2× 2 44000/=
Newforce 40000
Kilimanjaro express 40000/=
 
Kama huna haraka subiri jioni uende pale Ubungo Kibo ( Roundabout) vizia IT moja cheap and chap upo Mbeya

NB : Usalama sio mkubwa sana
 
Nenda gerezani jioni buku 20 tu double Coaster hakuna kulala zinachomoka sa 2 usiku asb 12 uko Mbeya mwendo usiulize piga vidonge vya usingizi kula ushibe twende kazi.
 
Nenda gerezani jioni buku 20 tu double Coaster hakuna kulala zinachomoka sa 2 usiku asb 12 uko Mbeya mwendo usiulize piga vidonge vya usingizi kula ushibe twende kazi.

Mbeya to Dar
sio Dar to Mbeya.
 
Morning.
Nauliza kwa sasa basi gani ni bora zaidi kufanya nalo safari ya Mbeya -Dar. Na nauli yake ni kiasi gani?
Tumia SAULI LUXURY mkuu. Ipo vema Sana nauli yake Ni elfu 44,000/=
 
Dar lux 44000
Sauli 44000
New force 40000
Talent 40000 kwa 60000 VIP
 
Nenda gerezani jioni buku 20 tu double Coaster hakuna kulala zinachomoka sa 2 usiku asb 12 uko Mbeya mwendo usiulize piga vidonge vya usingizi kula ushibe twende kazi.
Gerezani ya Mbeya iko Luanda au Kawetere?
 
Hivi JF ina Great Thinkers au ina wadandiaji? Majibu ya swali la basi linalotoka Mbeya kwenda Dar ni tofauti na swali kwani wanataka msafiri aende Jangwani, Ubungo avizie IT na mengine mengi huyu anatoka Mbeya kwenda Dar aende Ubungo! Si atakuwa tayari yuko Dar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…