Ni upi upendo wa kweli kwako?

Ni upi upendo wa kweli kwako?

NatJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
353
Reaction score
148
Je kuwa na mpenzi bila kufanya mapenzi au kuwa na mpenzi unayefanya naye mapenzi kabla ya ndoa... Yupi mwenye mapenzi ya dhati? Anaye subiri au anaye gegeda?
 
na huyu asiye fanyana wewe lakini anafanya na wengne?
we anakusave the best for last?
huyu unamweka kundi gani?
 
na huyu asiye fanyana wewe lakini anafanya na wengne?
we anakusave the best for last?
huyu unamweka kundi gani?

huyo atakuwa ameshavunja mapatano.. Coz hayo mambo ya kufanya au kutofanya nimakubaliano kati ya hao wapenzi sasa yeye kama alikubali kusubiri then akatoka kugegeda kwengine basi tayar amesha vunja yale makubaliano na atakuwa ni msaliti kwa mwenzake labda afanye siri huyo mwenzie asijue lakini akijua sidhani kama kutakuwa na ndoa tena
 
Je kuwa na mpenzi bila kufanya mapenzi au kuwa na mpenzi unayefanya naye mapenzi kabla ya ndoa... Yupi mwenye mapenzi ya dhati? Anaye subiri au anaye gegeda?

mhm.....hapo pagumu. ila i will pick anayegegeda any day
 
Je kuwa na mpenzi bila kufanya mapenzi au kuwa na mpenzi unayefanya naye mapenzi kabla ya ndoa... Yupi mwenye mapenzi ya dhati? Anaye subiri au anaye gegeda?

zaidi ya kugegeda na mapenzi........mimi napendelea pia yule mwenye wallet nene.....inatia spices kwa kweli.........
 
kwakweli yule anaye subiria mpaka ndoa kama hawezi kuniridhisha inakuwaje tunavunja ndoa, ni heri anayefanya anajua kabisaaa bwana sisi tumeridhiana bila shida
 
Back
Top Bottom