Helo Jf members, mm nimeingia kwenye mahusiano na msichana mmoja. Lkn mpenz wangu tayar ashanitambulisha kwa mamake. Je, kuna madhara yoyote kwa kujuana na huyu mamakwe?
Haina madhara na inaonyesha huyo mpenzi wako anakupenda na kukuamini ndio maana amehamua kumhusisha mzazi wake ni jambo zuri sana na ni sign nzuri kuwa mpenzi wako anakuamini sana
Kaka bora hata wewe ushatambulishwa..wengine wakiambiwa watambulishwe wanakuwa wakali kwelikweli kama mbogo......hamna shida its a step. Lakini inaonekana una wasiwasi kama hayo mahusiano hayatafika mbali na tayari ushatambulishwa...wala usijali whatever the case unaendelea na maisha.
twende sasa,kwa wazazi wangu,wakakutambue wewe kaka,kama unanipendaaa!,bila hivyo we kaka sina haja nawe,ndoa haitaki kufanya hivyo,uhuni sitaki!:music:
Helo Jf members, mm nimeingia kwenye mahusiano na msichana mmoja. Lkn mpenz wangu tayar ashanitambulisha kwa mamake. Je, kuna madhara yoyote kwa kujuana na huyu mamakwe?
Sasa unasubiri nini kukamilisha taratibu na kuoa? Ila umepata info zake za kutosha? Kama ana single parent basi hakikisha wajomba na baba wakubwa au wadogo au mashangazi wanashirikishwa, isipofanyika hivyo ujue una kazi mbele ya safari!!!!!