Ni umuhm gan wa kujuana na mamakwe wakati wa mahusiano ya mwanzo

kagarara

Senior Member
Nov 23, 2010
118
9
Helo Jf members, mm nimeingia kwenye mahusiano na msichana mmoja. Lkn mpenz wangu tayar ashanitambulisha kwa mamake. Je, kuna madhara yoyote kwa kujuana na huyu mamakwe?
 
kama umesha mwita mpenzi sioni shida iko wapi.........
kwa sababu inaelekea unampenda.. au vipi?
 
kwani una mda gani nae ni within a week ndo akakutambulisha??
ila kwa upande mwingine kama wote mko serious na malengo yenu yatatimia haina madhara.
 
Haina madhara na inaonyesha huyo mpenzi wako anakupenda na kukuamini ndio maana amehamua kumhusisha mzazi wake ni jambo zuri sana na ni sign nzuri kuwa mpenzi wako anakuamini sana
 
kagarara kwani ulikuwa na mpango wa kuchakachua na kupita ?kama ndivyo basi ina madhara bt km sivyo haina shida yoyote
 
Kaka bora hata wewe ushatambulishwa..wengine wakiambiwa watambulishwe wanakuwa wakali kwelikweli kama mbogo......hamna shida its a step. Lakini inaonekana una wasiwasi kama hayo mahusiano hayatafika mbali na tayari ushatambulishwa...wala usijali whatever the case unaendelea na maisha.
 
Nashukuru sana wana Jf kwa ushauri wenu mzuri na sala zenu pia naziomba.
 
twende sasa,kwa wazazi wangu,wakakutambue wewe kaka,kama unanipendaaa!,bila hivyo we kaka sina haja nawe,ndoa haitaki kufanya hivyo,uhuni sitaki!:music:
 
Note: kuna wengine hutumia njia ulotaja kama mbinu ya 'kukukamata'...anataka umtambue mamake na hakupi ridhaa ya maamuzi kuhusu hilo!!
 
Wanaume wengi matapeli,mimi nafikiri mwanaume mwenye mapenzi ya kweli ni yule anayekutambulisha kwa ndugu zake.
 
Helo Jf members, mm nimeingia kwenye mahusiano na msichana mmoja. Lkn mpenz wangu tayar ashanitambulisha kwa mamake. Je, kuna madhara yoyote kwa kujuana na huyu mamakwe?

Ni vyema akutambulishe na kwa baba yake. Hilo ni jambo jema kwani ndio wakati wa kuisoma hiyo familia yao. Je, ilitokeaje mpaka akakutambulisha?
 
Niko serious naye na ninampenda sana.

Sasa unasubiri nini kukamilisha taratibu na kuoa? Ila umepata info zake za kutosha? Kama ana single parent basi hakikisha wajomba na baba wakubwa au wadogo au mashangazi wanashirikishwa, isipofanyika hivyo ujue una kazi mbele ya safari!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom