Niko serious naye na ninampenda sana.kwani una mda gani nae ni within a week ndo akakutambulisha??
ila kwa upande mwingine kama wote mko serious na malengo yenu yatatimia haina madhara.
Helo Jf members, mm nimeingia kwenye mahusiano na msichana mmoja. Lkn mpenz wangu tayar ashanitambulisha kwa mamake. Je, kuna madhara yoyote kwa kujuana na huyu mamakwe?
Niko serious naye na ninampenda sana.