Nadhani ameunganisha vyote
swali lipi hilo mkuuNamkubali jamaa huwa hana tabia ya kuumua uma maneno ni mkweli
Alimuuliza bosi wake swali gumu kipindi bashite kavamia pale clouds
Yaani hapo anamaanisha matatizo ya kimwili mkuu kama vile wale wa goli moja wanamaliza mwezi kurudia tendo so watu wa hivi ndio alimaanisha.Hivi uchumi kukaa vibaya sio sehemu ya matatizo? Ni vyema akaweka makundi ya hayo matatizo na orodha ya matatizo yenyewe. Maanake hayo matatizo yasijekuwa ndani ya mind yake tu.
basi haya maneno wanaume muwe mnaambiana wenyewe tuu si kuyaweka public bhana..nasisi tuna yetu mjue