Ni ujinga

kuvaa kata K huku nguo ya ndani imebadilika rangi kutokana na uchafu wa kutokufua
 
Kusikitika kupata div 0 wakati ulikua huzingatii masomo
 
ni ujinga kushangilia arsenal badala ya manchester united
 
Ni ujinga kugombea haki ya kuchinja wanyama!
 
Ni ujinga uliopitiliza kuwa shabiki wa manchester united badala yaa Arsenal.
 
ni ujinga kuishangilia Arsenal wakati kila siku kufungwa
 
Ni upuuzi kutafuta remote dk 5 wakati tv ipo karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…