Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Mkuu kuna demu kanibana kinyama ati nimpe 30k wakati hata sijawah kumtongoza. Je nifanyaje kabla sijatumia ICBM?Kwanza mwanamke anayekuomba hela kila mara ujue ana tatizo
Tatizo la ki uchumi au nje na hapo?Kwanza mwanamke anayekuomba hela kila mara ujue ana tatizo
Siyo tatizo [HASHTAG]#Nokia83[/HASHTAG] ni kwamba hujapedwaa mwanamke anyeomba pesa mnoo huyo hajakupendaa!!!!Kwanza mwanamke anayekuomba hela kila mara ujue ana tatizo
Na mwanaume ambaye hajakupenda inakuaje?Siyo tatizo [HASHTAG]#Nokia83[/HASHTAG] ni kwamba hujapedwaa mwanamke anyeomba pesa mnoo huyo hajakupendaa!!!!
Km uamini ktk umri wako najua ushawahi kuwa kwenye mahusiano either mmoja wawili au nakuendlea na katika hao wapo waliokupenda kwa dhati wapo waliokutamani/au walitamani kitu Fulani kutoka kwako
.......lzm watakuwa na utaofauti kati ya aliye kupenda na aliyetamani kitu Fulani kutoka kwakooo, matendo yaooo ndiyo yatafanya uamini na km bdo hujaanza mambo ya kikubwaa ukija kuanzaa utajua chunguza kwa makini
Unakwenda wapi sasa???napita..............
NashangaaaaaaaUmesema mwenyewe "give to me i give to you"
.
.
Naanzaje kukupa papuchi wakati hujanipa kitu. Haya mambo hayana formula bhana!