lutajangurwa
Senior Member
- Sep 21, 2019
- 126
- 172
Nilianza kwa kusikia maumivu ya viungo mithili ya uchovu. Yakafuatia maumivu makali kwenye paji la uso kwa muda hata siku nne. Muda wote ni homa na jasho jingi tu.
Vipimo vya hospitali havionyeshi malaria, UTI wala chochote. Nilianza mimi, kafuatia mke wangu na sasa binti yangu.
Tusaidieni ushauri.
Vipimo vya hospitali havionyeshi malaria, UTI wala chochote. Nilianza mimi, kafuatia mke wangu na sasa binti yangu.
Tusaidieni ushauri.