Tatizo la kuwahi kufika kileleni ni ugonjwa au?

muda w nini kaka au jinsi inavyokuwa kwakweli ni ndani ya one minutes kwa first round na ndani ya three minutes kwa second na zinazofata
 
muda w nini kaka au jinsi inavyokuwa kwakweli ni ndani ya one minutes kwa first round na ndani ya three minutes kwa second na zinazofata
Duh tatizo ni kubwa hapo unamchafua tu mtoto wa watu,wanawake wanahitaji at least robo saa kufika safari, kuna delay spray inauzwa pharmacy unapulizia kwenye kichwa cha mkia itakusaidia kuchelewa mpaka utakapojiamini.
 
nataka maujanja yenu bwana. Na hapa sitoki hata lije tinga tinga.
Naona wewe na Shosti mmekuja na magodoro kabisa kwenye thread hii hahaha! Nafahamu hamuwezi kukubali eti mechi iishe dakika 1-3 ndio maana nimempa ufumbuzi at least atapiga danadana dakika 15-20 lol!
 
Back
Top Bottom