Habarini za usiku huu wana MMU! Sina mengi saana ila tu ni ujio tu wangu humu ndani, maana jogoo la shamba haliwiki mjini, xo nkishazoea ntawika, usiku mwema wapendwa.
Habarini za usiku huu wana MMU! Sina mengi saana ila tu ni ujio tu wangu humu ndani, maana jogoo la shamba haliwiki mjini, xo nkishazoea ntawika, usiku mwema wapendwa.
kama ni ke humu wanaume wote wameoa kasoro mimi sasa wasikudanganye kuna wazee wanawajukuu kabisa sasa natunga mistari ili nikupange unielewe na mimi nioe kama wenzangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.