barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,331
- 29,577
Ndio maama Manutd haitachukua kombe.Hope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Ivi niwaulize mashabiki wa Man U mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!