Ni uchovu?!?

Ni uchovu?!?

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
235
Reaction score
38
Kila siku nirudipo kazini,huwa na uchovu,siku zingine mwingi au kiasi,na niingiapo kitandani hutaka tu nilale basi,sasa nahisi namuhuzunisha mume wangu jamani nisaidieni ananielewa henda stress za kazi na uchovu lakini sasa naogopa jaman asije akachoka kunivumilia,vp wengine nyie mnakabilianaje na changamoto hii?
 
Mh!
Nusura nicheke...
Hebu nikuulize swali moja bibie,...
  1. Mumeo anakuwa mpole tu ukishamuambia umechoka?
 
Ni lazima umpe haki ya ndoa mumeo, vinginevyo unataka atafute nyumba ndogo
 
Hiyo kazi umeanza baada ya kuolewa au kabla? We ulipokubali kuolewa ulidhani ndoa ni matarumbeta? Kwamba utaolewa halafu uje kulala? Kwa taarifa yako mumeo anakuangalia tu huku akifikiria kati ya meri wa ofisini na jane wa pale supamaketi nani mrahisi!
 
Nikupe siri ya kutokuchoka ni wahi kuamka ruka kamba, work out cardials japo 30 minitues tu the oga fresh! Utapunguza uzembe 50% na utakuwa husinzii sinzii! Plus utakuwa very light na mvuto utaongezeka, achilia mbali kuonekana younger by several years.

Pia unaweza omba Mr. akufanyie massage kidogo na nini! Ila workout ndo best option.
 
Ndio ndugu yangu,most tym anajitahidi kunielewa na ananiambia nisiporidhia itakuwa ananifoc na hatopenda iwe hvyo,ni mpole
Mh!
Nusura nicheke...
Hebu nikuulize swali moja bibie,...
  1. Mumeo anakuwa mpole tu ukishamuambia umechoka?
 
Naogopa sn isijekutokea hivo,najitahid sn bt ndo hvo najikuta nina ucngz everyday mpaka najichukia plz km unajua sbb help,
Ni lazima umpe haki ya ndoa mumeo, vinginevyo unataka atafute nyumba ndogo
 
Nilianza kazi kabla sijaolewa,co kwamba naona kero bt tatizo ni langu ni hilo ananipenda na kunithamini,ndio mana nikaomba ushaur cha kufanya,wenzangu nyie inakuwaje?mkinipa ole nyingi haitanisaidia plz
Hiyo kazi umeanza baada ya kuolewa au kabla? We ulipokubali kuolewa ulidhani ndoa ni matarumbeta? Kwamba utaolewa halafu uje kulala? Kwa taarifa yako mumeo anakuangalia tu huku akifikiria kati ya meri wa ofisini na jane wa pale supamaketi nani mrahisi!
 
Pole sana fanya mazoezi labda yatakusaidia kupunguza uchovu na kuweza kumpa mwenzio haki yake badala ya kudai umechoka kila siku.

Kila siku nirudipo kazini,huwa na uchovu,siku zingine mwingi au kiasi,na niingiapo kitandani hutaka tu nilale basi,sasa nahisi namuhuzunisha mume wangu jamani nisaidieni ananielewa henda stress za kazi na uchovu lakini sasa naogopa jaman asije akachoka kunivumilia,vp wengine nyie mnakabilianaje na changamoto hii?
 
Thanx,kwa ushauri nitaufanyia kazi huo wa kuruka kamba cs kuna siku yeye pia alisugest hivo,khs workout cjakuelewa fresh,inshort kazi yangu inachosha sn japo ni ya kutumia akili bt ina stress sana,huwa ananifanyia massage,na mara nying akinifanyia huwa tunaenjoy na kuenda kwenye kutimiza hiyo haki ya ndoa,tofaut na hapo ndo hivo namwambia tu naomba nijipumzishe
Nikupe siri ya kutokuchoka ni wahi kuamka ruka kamba, work out cardials japo 30 minitues tu the oga fresh! Utapunguza uzembe 50% na utakuwa husinzii sinzii! Plus utakuwa very light na mvuto utaongezeka, achilia mbali kuonekana younger by several years.

Pia unaweza omba Mr. akufanyie massage kidogo na nini! Ila workout ndo best option.
 
Pole kwa uchovu
Andaa ratiba nzuri kuanzia asubuhi mpaka jioni na kila jambo ulitengee muda wake
Jitahidi utimize mahitaji ya ndoa usije m'boa mwenzio
 
Pole ila kumbuka akianza kupata mashamsham nje ya ndoa usije tena kutuomba ushauri.
 
hiyo kazi umeanza baada ya kuolewa au kabla? We ulipokubali kuolewa ulidhani ndoa ni matarumbeta? Kwamba utaolewa halafu uje kulala? Kwa taarifa yako mumeo anakuangalia tu huku akifikiria kati ya meri wa ofisini na jane wa pale supamaketi nani mrahisi!

mkuu unamaanisha yule jane dada yangu mie!!? Mana yupo suprmrkt
 
muone daktari anayeitwa physiotherapist! Huo ni ugonjwa
 
Obvious utakua mwili umekuelemea,yani wewe ni kibonge!fanya mazoezi au kama vipi mapenzi hayana formula msikariri,jaribuni kutofanya mapenzi kwa mazoea kwamba eti lazima iwe muda wa kulala,mnaweza fanya asubuhi before hamjaanza maandalizi ya job,kila mtu ataenjoy!
 
ushauri mzuri sana.
 
Ndio ndugu yangu,most tym anajitahidi kunielewa na ananiambia nisiporidhia itakuwa ananifoc na hatopenda iwe hvyo,ni mpole
Ok..
Ni mpole kumbe.
Na anajitahidi kukuelewa.
Nikupongeze tu kuwa na mume wa aina iyo!
 
ushauri ulopewa wa mazoezi ni mzuri sana, ila kwani nyie ratiba ya kupeana haki ya ndoa ni usiku tu, siku nyingine mjaribu na morning glory kabla ya kwenda kazini
 
Back
Top Bottom