Ni uchovu wa safari au?

Dah!! Jaman mnatupotezea umakini asubuhi hii hapa tayar mmehamisha mawazo kichwa cha chini kimeanza kuongoza na cha juu kimeshakuwa zuzu..

[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Haya ndio matatizo ya mtoto wa kiume kumiliki ki baby walker. Kabla hujamfikisha mtoto sehemu husika anakuwa ameshajichokea. Sie tunaomiliki ma Range Rover, mtoto hawezi kuchoka kiasi hicho...
 
Haaaaaahh haaaahh..! Hatari sana
 
Dah!! Jaman mnatupotezea umakini asubuhi hii hapa tayar mmehamisha mawazo kichwa cha chini kimeanza kuongoza na cha juu kimeshakuwa zuzu..

[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Haaahhh Red scorpion amezingua bora angeiweka Post jioni hapa yashakuwa matatizo sasa kwa sisi wengne
 
Sana nimwona hilo gari ni full of plastics,not classic at all kama sio passo sijui...
 
Mhhh unakamatia hii kitu unajifungia ndani wiki nzima... Kazi kazi tu
 
Anauza kupitia u model huyu demu anaejiita sanchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…