Ni Ubunifu wenye manufaa

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,392
Reaction score
8,295
Kama kuna mtu anaweza kutengeneza hii kitu hapa Bongo anijulishe, niko tayari kununua








 
washing machine!!!!!!!!!!!!???!!!!
 
Hiyo inawezekana kutengeneza, ni ufundi mwepesi
 
duh zitatakata kweli hizo nguo?

Zitang'aa tu, si kama lile la umeme?

Sema hata lile huwa nina mashaka nalo na utakatishaji wake kwa nguo za watoto wa hali ya kati na ya chini kwenye maeneo wanayocheza na uchafukaji wa nguo zenyewe.
 
...mashine hupimwa kwa ufanisi

...nina wasiwasi na ufanisi wa hiyo mashine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…