Marumeso JF-Expert Member Oct 3, 2009 1,410 1,325 Jun 1, 2016 #1 Wasaalam Siku si nyingi michuano ya kombe la ulaya itaanza. Naomba mwenye hint ya tv channels zitakazorusha mechi hizo azimwage hapa.
Wasaalam Siku si nyingi michuano ya kombe la ulaya itaanza. Naomba mwenye hint ya tv channels zitakazorusha mechi hizo azimwage hapa.
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Apr 22, 2012 15,118 16,485 Jun 1, 2016 #2 ATN, ZBC2 sijui wengine. Mi natafuta inayoonesha Bunge live