Ni Tusker Lite tamu au warembo wake..

Zoe_Princess

Member
Feb 5, 2017
94
89
Maana dah sio kwa vitu wanavyo tuletea hawa jamaa...
Jana liquid tulikoma.. Kama tuna hudumiwa na air hostess kumbe vijana wa..... Hatarii
Ila haina hang over wala harufu na unalewa safi tuu.. Ila wanywa wisky mtaionea...
Naskia leo wako the great park na dj summer wa eatv... Hatari sana
397e8de96cae1c5f82206f8ad3c027d4.jpg
 
Liquid gani mkuu hapa maduka??

Daah ilikuwa poa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom