Ni Tanzania Pekee!

Ni Tanzania tu
Ambapo utaona kwenye SHELI wameandika
*LIPA KWA M-PESA*
Halafu pembeni wameandika
*TAFADHARI ZIMA SIMU*

Watanzania sio wa Mchezo mchezo.
Hivi Sheli (SHELL) ina maana ya kituo cha mafuta? Navyojua mimi kampuni ya SHELL ilishafunga/kufa muda mrefu.
 
Hivi Sheli (SHELL) ina maana ya kituo cha mafuta? Navyojua mimi kampuni ya SHELL ilishafunga/kufa muda mrefu.
Upo sahihi ... shell ni kampuni ya mafuta .... jina sahihi kwa kituo cha mafuta ni filling station... lakini kampuni ya shell haijafa mzee ni hapa bongo tu ndo huioni ila bado ina survive kwenye nchi za watu mkuu!
 
Back
Top Bottom