MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,085
Ongea na pass na ukifeli nicheki nitakusaidia
mie PASS niliwah kwenda !kwa machine niliyokuwa nataka mie walisema niwe na 20m kwa acc
Ongea na pass na ukifeli nicheki nitakusaidia
Mkuu nimeongea na PASS wamedai tuwasilishe barua ya maombi benki husika kisha tukikubaliwa ndo tuwatafute. Naona kama hawana msaada.Ongea na pass na ukifeli nicheki nitakusaidia
Mkuu nimeongea na PASS wamedai tuwasilishe barua ya maombi benki husika kisha tukikubaliwa ndo tuwatafute. Naona kama hawana msaada.
Mkuu nimefeli narudi kwako kwa msaada zaidi.Ongea na pass na ukifeli nicheki nitakusaidia
Hawakopishi wanaongeza udhamini kama dhamana zako hazitoshi na unawalipa 2% ya mkopo ulioomba.Kwa hio Pass wanadhamini, sio kukopesha?
Mkuu ongeza maelezo kidogo juu ya hii TSA!
Wajasiriamali wapi mkuu
Tofauti na TADB inayohitaji vikundi vya muda mrefu kuanzia miaka mitatu kuvikopesha. Ni taasisi gani nyingine za kifedha zinazokopesha vikundi vya wakulima Tanzania? Mwenye kujua atufahamishe.
Muhimu sana hii aiseeJana nilikuwa naangalia kipindi cha Wakilisha EATV saa 3 na nusu usiku nikaona taasisi inasaidia vijana mikopo ya kilimo na kukusimamia mpaka mavuno na masoko kisha unawalipa 20 % ya mauzo yako yote huyo dada anaitwa Juith mwenye hiyo kampuni lakini jina la kampuni sikufanikiwa kulisikia mwenye ufahamu na hiyo kampuni anaweza kutusaidia.
Muhimu sana hii aisee
Hiyo milioni moja si ni mtaji kabisa kwa mkulima mdogonilifatilia nikagundua yaweza kuwa ni ubabaishaji maana wanataka utoe kiingilio milioni moja (hii niregistration fee only) halafu ndio utapatiwa mkopo kulingana na unachohitaji kulima huku wakikusimamia mpaka mavuno na masoko. Anyway sina hakika nao kwa kweli maana hiyo fee ni kubwa sana kwa mkulima anayeanza kilimo na risk zilizopo kwenye kilimo.
sure hawana tofauti na wale wanajiita NamaingoHiyo milioni moja si ni mtaji kabisa kwa mkulima mdogo
eclof wana nini best mapaka tusiendeusithubutu eclof
hebu nenda kwanza sijawah kwenda ila kuna watu walienda wakadai riba ipo juu !eclof wana nini best mapaka tusiende
Kwa nini?usithubutu eclof
itabidi niende nikaulizie nione wakoje haohebu nenda kwanza sijawah kwenda ila kuna watu walienda wakadai riba ipo juu !
naskia wana riba juu sana !my shoga aliwah kwenda hapoKwa nini?