Ni taasisi gani zilizompa tuzo Lowassa?

Ni taasisi gani zilizompa tuzo Lowassa?

Mi niliona insta wolper alirepost kutoka kwa mh lowasa kuwa anayashukuru hayo mashirika ya kidini 1200,nikajiuliza hayana connection na tb Joshua kweli?
kuna kitu kinaitwa ithibati (acreditation). hao wanaotoa hiyo tuzo wanatambulika kivipi. hata madereva taxi new york waweza kujidai taasi ya kutoa shahada ya amani kwa nchi za afrika halafu mtu anafanya mbwembwe eti kapewa shahada ya amani kutoka marekani. kuna haja kujua taasisi gani ziko nyuma ya shahada hiyo. kuna makanisa ya kipigaji kama ya gwajima elfu kadha duniani. wenyewe hawamtafuti mungu ila pesa. sio taabu wao kukuandikia hati ya amani kwa hela.
 
Last edited:
Maaskofu wa baadhi ya vijikanisa ambavyo havisajiliwa ktk Kongo, hawa waliunganishwa na Gwajima nao wakatafuta maaskofu wenzao wa vijikanisa vyao feki na kutoa hilo, usijali yote haya kwa ajili fisadi Lowasa anataka kubakia relevant tu hakuna kingine!

Alimfisadi m@m@ ako?
 
Back
Top Bottom