Ni taasisi gani zilizompa tuzo Lowassa?

Ni taasisi gani zilizompa tuzo Lowassa?

Nkungulume

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,987
Reaction score
1,210
Kuna taarifa iliyotolewa na vyombo mbalimbali wiki iliyopita kwamba aliyekuwa mgombea urais kupitia muungano wa vyama ukawa.

Amepongezwa kwa kudumisha amani ni jambo jema sana kwa kiongozi wetu huyu kupongezwa na taasisi hizo.

Sasa nilitaka ni taasisi gani na za nchi gani ambazo zilimpongeza maana sikuona majina ya taasisi wala nchi zinakotoka zilizompongeza
 
Hawawezi kukujibu mtu wangu hata ukiuliza walioripoti hawakupi detail tangible
 
loading...
1200 nazani kutoka mataifa mbalimbali..
 
Labda madhehebu ya dini 1200 tofautitofauti duniani hahahahah.........
Funny
 
Propaganda uchwara tu hizo,hiyo aman kadumisha kwa miezi kadhaa tu,hebu tuache utani jamani
 
Mi niliona insta wolper alirepost kutoka kwa mh lowasa kuwa anayashukuru hayo mashirika ya kidini 1200,nikajiuliza hayana connection na tb Joshua kweli?
 
Kuna taarifa iliyotolewa na vyombo mbalimbali wiki iliyopita kwamba aliyekuwa mgombea urais kupitia muungano wa vyama ukawa.

Amepongezwa kwa kudumisha amani ni jambo jema sana kwa kiongozi wetu huyu kupongezwa na taasisi hizo.

Sasa nilitaka ni taasisi gani na za nchi gani ambazo zilimpongeza maana sikuona majina ya taasisi wala nchi zinakotoka zilizompongeza

Maaskofu wa baadhi ya vijikanisa ambavyo havisajiliwa ktk Kongo, hawa waliunganishwa na Gwajima nao wakatafuta maaskofu wenzao wa vijikanisa vyao feki na kutoa hilo, usijali yote haya kwa ajili fisadi Lowasa anataka kubakia relevant tu hakuna kingine!
 
Amani itadumishwa magufuli akitenda haki,afilisi watu wote walioiibia nchi hii hadi sasa bado ni maskini
 
Maaskofu wa baadhi ya vijikanisa ambavyo havisajiliwa ktk Kongo, hawa waliunganishwa na Gwajima nao wakatafuta maaskofu wenzao wa vijikanisa vyao feki na kutoa hilo, usijali yote haya kwa ajili fisadi Lowasa anataka kubakia relevant tu hakuna kingine!

Duh hii hatari
 
Hakuna taasisi bali ni mpango wa UKAWA ulio sukwa vyema ili kujipa kick..
 
Gazeti la mwananchi nilikuwa naliheshimu, ila kwa hiyo habari ya tuzo 1200 walini-disappoint, achilia mbali kutozitaja, lakini idadi yenyewe tu Ni unrealistic.
 
Back
Top Bottom