Ni Taasisi gani ya Fedha itanifaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Taasisi gani ya Fedha itanifaa?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Masikini_Jeuri, Mar 1, 2010.

 1. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Wanajamvi nataka kuitumia nyumba yangu kama Loan guarantee; Loan nitakayoipata hapo nitaijenga imara na kuipangisha nyumba husika. Nyumba ipo Dar; Mabibo External eneo la Makuburi kwa sasa inaweza kuwa na thamani ya Mil. 50, Ina hati zote halali.

  Je ni taasisi gani ya fedha watanifaaa kwa masharti nafuu na kwa kuwa sijawahi kufanya utaratibu wa namna hii natakiwa kuzingatia nini?
   
Loading...