Ni suala la muda tu!

Katika Kipindi Ambacho Upinzani Unapitia Wakat Mgum Naith Ni Kipindi Hiki
 
Waathirika wa madili muda umewageuka na sasa mnaongea kwa kusadikika..wakati wenzenu wanazungumzia miundo mbinu ya kisasa ya reli, unnuzi wa vivuko, fly overs, ununuzi wa ndege, upenuzi wa reli n.k. nyie Bado mnalia na muda na habari za kusadikika..muda wa nyakato zile ulishaenda..itawachukua muda sana kuaminisha watu unachokisadiki
 
Ndo kusema unatutisha,si ndio?,
sasa subiri nikwambiage,Hatutishiki ng'o, na sasa ndo tumeshika hatamu,utabana ngenge na utasubiri sana tu,sisi tunasonga mbele tu kurudi nyuma kwetu ni mwiko,,eeishh
 
Ndo kusema unatutisha,si ndio?,
sasa subiri nikwambiage,Hatutishiki ng'o, na sasa ndo tumeshika hatamu,utabana ngenge na utasubiri sana tu,sisi tunasonga mbele tu kurudi nyuma kwetu ni mwiko,,eeishh
 
Ndo kusema unatutisha,si ndio?,
sasa subiri nikwambiage,Hatutishiki ng'o, na sasa ndo tumeshika hatamu,utabana ngenge na utasubiri sana tu,sisi tunasonga mbele tu kurudi nyuma kwetu ni mwiko,,eeishh
Wewe ni wa buku 7 umetumwa humu wenzio wakina le....wako kwa viti virefu wanagonga grass
 
Kuna mtu anataka kuibadilisha Tanzania wakati kiuhalisia anatakiwa abadilike yeye kwanza kabla hajawaza kuibadilisha Tanzania.
 



Hakika hata sasa Mungu ananena kupitia watu wake.
Tofauti ni majina. Wakati huo waliitwa Mitume lakini sasa zama hizi wanaitwa wanaharakati.
Wote kazi yao ni moja kusimama kwenye ukweli mpaka mwidlsho wa maisha yao.

Umeandika andiko la kitume.

Huu ni waraka wa kitume na kinabii kwa watu wote.

Naupenda sana umoja na upendo tuliokuwa nao watanzania ambao naona unapotezwa na watawala kwa uchu na uroho wa madaraka.

Awamu ya nne ilitufikisha mahali ambapo CCM na wapinzani wake walikua ni kama makabila yenye utani.
Yani CCM walikua wanasema watani zetu wa upinzani.
Waliishia kujibizani kwa hoja majukwaani na baada ya hapo unawakuta wanakaa meza moja wanagonga chiazi.
Tulikua tumeshavuka kwenye balaa la kudai demokrasia kwa nguvu mpaka kwenye maridhiano ya kisiasa kabla ya uhasama.
Tukaletewa mezani mchakato wa katiba bila hata maandamano ya kuidai. Waliouvuruga mchakato ule ni watu waliojawa na hofu na uroho wa madaraka na waoga wa kukosa vyeo vya bure bure bila uadilifu.

Kweli muda ndio jawabu.
 
Yanayotokea libya leo hii ni kwa sababu yaMuda uliachwa uamue yote haya[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]



 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…