Ni simu gani zina nguvu ya network ?

Ni simu gani zina nguvu ya network ?

Kuna simu flani nilinunua Kariakoo mwaka jana mwanzoni zinaitwa Randrover ziko vizuri sana kwa network sababu kuna sehemu nilienda iko mbali sana mnara na simu karibia zote za kisasa zilikuwa zinasumbua yenyewe ilikuwa vizuri sana
 
Hadi sasa simu iliyokuwa powerful kwa kukamata network ni ALCATEL hawa jamaa mwisho ,wao hawashuguliki sana na uzuri wa umbo la simu ,ila wanakwenda na wakati na ndio wao wanaongoza kwa utengenezaji wa mitambo ya mawasiliano yenye uhakika kuanzia vyombo vinavyokwenda angani hadi vinavyozamia baharini.

Na kabla hujanunua ya bei mbaya tafuta iliyochoka kwanza ili kujiridhisha ,nenda nayo hata sehemu hawajui simu ni kitu gani basi itakupa network iliyokaribu ,na kwa ufupi hawashughuliki na kutoa new model kila mwaka ,ila kama nilivyosema wanakwenda na wakati na simu zao hazibebi tag kubwa ya bei. Hizo simu ni hatari kwa kunasa network huwezi kuamini ,simu zote unazozijua zitapoteza mawasiliano ila ALCATEL itakupa hata ikiwa ipo kwenye zero basi bado unaweza kuzungumza.

Kwa kutilia nguvu niliyoyasema ona'

Alcatel-Lucent has been named Industry Group Leader for Technology Hardware & Equipment sector in the 2014 Dow Jones Sustainability Indices review and listed in the 2014 Thomson Reuters Top 100 Global Innovators for the 4th year in a row.

Alcatel-Lucent holds Bell Laboratories, one of the largest research and development facilities in the communications industry. Bell Labs employees have been awarded eight Nobel Prizes and the company holds over 29,000 patents.
 
Nguvu ya network inategemea na mtandao husika, sidhani km kuna uhusiano wowote na simu, mhimu simu iwe ni origina ....inawezekana ndio mara ya kwanza unatumia cm ktk maisha yako mkuu!

ukiwa unaongea na simu mtu mwingine akikupigia ataambiwa busy ila kuna simu nyingine ikipiga ina block maongezi yenu na kuingia

kwaiyo sio network tu hata simu inahusika kwa kuwa na nguvu.
 
Sio kweli mkuu, mimi mwaka jana nilikwenda katavi sehemu moja inaitwa mnyamasi nilikuwa na simu moja ya alcatel nililetewa tu, bwana kijiji kizima kuna sehemu mmoja tu ambapo kuna mti ndio kuna mtandao tena ni vodacom tu ukitoka pale hatua mbili tu haina mtandao ila ni mimi tu ndio nilikuwa na uwezo wa kupokea au kuongea na simu sehemu yoyote ile!!! Hadi niliacha gumzo pale wakati hii nyingine ya bei kubwa haishiki kabisa!! Hadi wasukuma wakawa wanafika bei ila nikakataa kuiuza.
 
Sasa hapa mkuu umezidisha bwana, simu yako ukiwa unaongea mtu mwingine akakupigia ikaandika busy au call waiting hizo ni settings zako zipo kwny cm, hoja yako ni nyepesi sana!
 
Sio kweli mkuu, mimi mwaka jana nilikwenda katavi sehemu moja inaitwa mnyamasi nilikuwa na simu moja ya alcatel nililetewa tu, bwana kijiji kizima kuna sehemu mmoja tu ambapo kuna mti ndio kuna mtandao tena ni vodacom tu ukitoka pale hatua mbili tu haina mtandao ila ni mimi tu ndio nilikuwa na uwezo wa kupokea au kuongea na simu sehemu yoyote ile!!! Hadi niliacha gumzo pale wakati hii nyingine ya bei kubwa haishiki kabisa!! Hadi wasukuma wakawa wanafika bei ila nikakataa kuiuza.

Kwa simu km Alcatel nakubaliana na ww, hizi mara nyingine huwa zinawezeshwa nguvu na satellite pia, miaka ya 90 nakumbuka enzi za Mobitel kuna wazungu walikuja kijijini kwetu kwa project fulani wakawa wanaongea na cm aina ya Alcatel bila shida, enzi hizo wengine ht cm za mkononi hatuzifahamu
 
Hadi sasa simu iliyokuwa powerful kwa kukamata network ni ALCATEL hawa jamaa mwisho ,wao hawashuguliki sana na uzuri wa umbo la simu ,ila wanakwenda na wakati na ndio wao wanaongoza kwa utengenezaji wa mitambo ya mawasiliano yenye uhakika kuanzia vyombo vinavyokwenda angani hadi vinavyozamia baharini.

Na kabla hujanunua ya bei mbaya tafuta iliyochoka kwanza ili kujiridhisha ,nenda nayo hata sehemu hawajui simu ni kitu gani basi itakupa network iliyokaribu ,na kwa ufupi hawashughuliki na kutoa new model kila mwaka ,ila kama nilivyosema wanakwenda na wakati na simu zao hazibebi tag kubwa ya bei. Hizo simu ni hatari kwa kunasa network huwezi kuamini ,simu zote unazozijua zitapoteza mawasiliano ila ALCATEL itakupa hata ikiwa ipo kwenye zero basi bado unaweza kuzungumza.

Kwa kutilia nguvu niliyoyasema ona'

Alcatel-Lucent has been named Industry Group Leader for Technology Hardware & Equipment sector in the 2014 Dow Jones Sustainability Indices review and listed in the 2014 Thomson Reuters Top 100 Global Innovators for the 4th year in a row.

Alcatel-Lucent holds Bell Laboratories, one of the largest research and development facilities in the communications industry. Bell Labs employees have been awarded eight Nobel Prizes and the company holds over 29,000 patents.

Itabidi niitafute.
 
Sio kweli mkuu, mimi mwaka jana nilikwenda katavi sehemu moja inaitwa mnyamasi nilikuwa na simu moja ya alcatel nililetewa tu, bwana kijiji kizima kuna sehemu mmoja tu ambapo kuna mti ndio kuna mtandao tena ni vodacom tu ukitoka pale hatua mbili tu haina mtandao ila ni mimi tu ndio nilikuwa na uwezo wa kupokea au kuongea na simu sehemu yoyote ile!!! Hadi niliacha gumzo pale wakati hii nyingine ya bei kubwa haishiki kabisa!! Hadi wasukuma wakawa wanafika bei ila nikakataa kuiuza.

Hivi mkuu Alcatel ndio zile zenye mkonga!!?
 
Mi ya kwangu ni zile simple tu ina ki mkonga kidogo hivi ila ni balaa hata wao siku hizi wametoa hata ambazo hazina antena na hata smartphone wanazo ila sijui ufanisi wake upo kama hivi simple kwenye network!! Kuna nyingine siku hizi naona maaskari wengi wa mali asili wanazo nadhani wanazipendea kutokana na hili suala la mtandao, na wenyewe kazi zao ni za mapolini ,ukiiona ina sura mbaya ila kwenye mtandao ni hatari!!na hata upande wa charge iko vizuri
 
Back
Top Bottom