JEMEDARI .H.
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 341
- 63
Wakuu naomba kujua ni simu aina gani nokia,tecno,iphones,htc,huawei,blackberry,samsung,sonny xperia,itel au aina gani ambazo huwa na nguvu ya network hasa katika maeneo ambayo yana mtandao wa shida?
Swali lake lina mantiki sana simu zinatofautiana sana kwenye network hasa kwenye data usage/data connection. Simu zilizo na network nzuri kwa internet ni zile zenye uwezo wa 3G upande data connection chini ya hapo loading yake kwenye internet itakuwa slow. Hivyo unatafuta simu tafuta yenye specification ya 3G au 3.5G au juu ya hapo.Nguvu ya network inategemea na mtandao husika, sidhani km kuna uhusiano wowote na simu, mhimu simu iwe ni origina ....inawezekana ndio mara ya kwanza unatumia cm ktk maisha yako mkuu!
Swali lake lina mantiki sana simu zinatofautiana sana kwenye network hasa kwenye data usage/data connection. Simu zilizo na network nzuri kwa internet ni zile zenye uwezo wa 3G upande data connection chini ya hapo loading yake kwenye internet itakuwa slow. Hivyo unatafuta simu tafuta yenye specification ya 3G au 3.5G au juu ya hapo.
Wakuu Mimi nimeuliza kwa sababu Niko sehemu ambayo network inasumbua sasa lengo nijue nibadili simu
Cjui km jibu lako ni la kiufundi maana mm sio mtaalam sn wa hayo mambo, nitakupa mfano, last December nimeenda kijijini nikiwa na cm yenye 3G na nyingine haina, lakini cm ile ya kawaida network yake ilikuwa stronger kuliko ile ya 3G...ila muuliza swali aliuliza aina ya simu ww ume-categorize according to networks
Simu zenye nguvu ni zozote zenye uwezo kuanzia 3G, H n.k. pia inategemea na mahali ulipo na mtandao wenyewe, aina sio case sana isipokuwa tu kama ungehitaji uimara au features nyingi.
hv mnakumbuka sim zile zenye mikonga zilikuwa na performance nzur kweny low network
Mwaka 2000/1 nilikuwa natumia Sony na Motorola, zote zilikuwa na mkonga
mkuu lakini zilikuwa na utofauti kidogo na ukizingatia hiyo past tym kulikuwa hakuna network nzur hat kidog
Cjui km jibu lako ni la kiufundi maana mm sio mtaalam sn wa hayo mambo, nitakupa mfano, last December nimeenda kijijini nikiwa na cm yenye 3G na nyingine haina, lakini cm ile ya kawaida network yake ilikuwa stronger kuliko ile ya 3G...ila muuliza swali aliuliza aina ya simu ww ume-categorize according to networks