Ni simu gani zina nguvu ya network ?

Ni simu gani zina nguvu ya network ?

JEMEDARI .H.

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
341
Reaction score
63
Wakuu naomba kujua ni simu aina gani nokia,tecno,iphones,htc,huawei,blackberry,samsung,sonny xperia,itel au aina gani ambazo huwa na nguvu ya network hasa katika maeneo ambayo yana mtandao wa shida?
 
Nguvu ya network inategemea na mtandao husika, sidhani km kuna uhusiano wowote na simu, mhimu simu iwe ni origina ....inawezekana ndio mara ya kwanza unatumia cm ktk maisha yako mkuu!
 
Swali lake lina mantiki sana simu zinatofautiana sana kwenye network hasa kwenye data usage/data connection. Simu zilizo na network nzuri kwa internet ni zile zenye uwezo wa 3G upande data connection chini ya hapo loading yake kwenye internet itakuwa slow. Hivyo unatafuta simu tafuta yenye specification ya 3G au 3.5G au juu ya hapo.
 
Cjui km jibu lako ni la kiufundi maana mm sio mtaalam sn wa hayo mambo, nitakupa mfano, last December nimeenda kijijini nikiwa na cm yenye 3G na nyingine haina, lakini cm ile ya kawaida network yake ilikuwa stronger kuliko ile ya 3G...ila muuliza swali aliuliza aina ya simu ww ume-categorize according to networks
 
Wakuu Mimi nimeuliza kwa sababu Niko sehemu ambayo network inasumbua sasa lengo nijue nibadili simu
 
Ubadili cm au mtandao, tumia cm za kawaida tu, mfano hata Nokia ya Torch iko vizuri sana, ila km unahitaji na internet hapo ni issue nyingine
 
Cjui km jibu lako ni la kiufundi maana mm sio mtaalam sn wa hayo mambo, nitakupa mfano, last December nimeenda kijijini nikiwa na cm yenye 3G na nyingine haina, lakini cm ile ya kawaida network yake ilikuwa stronger kuliko ile ya 3G...ila muuliza swali aliuliza aina ya simu ww ume-categorize according to networks

Ni kweli wakati mwingine mitandao inakuwa na low network kwa sababu zifuatazo server kuelemewa, matatizo ya kiufundi, uwezo wa server na umbali kutoka kwenye server. Kama vitu vyote vitakuwa sawa kwenye mitandao ya simu hapo ndipo uwezo wa simu (handset) unakuwa muhimu.
 
Simu zenye nguvu ni zozote zenye uwezo kuanzia 3G, H n.k. pia inategemea na mahali ulipo na mtandao wenyewe, aina sio case sana isipokuwa tu kama ungehitaji uimara au features nyingi.

Pia inategemea na browser/app unayotumia, mfano Opera Mini iko faster kwasababu inacompress webpage kuwa katika OBML format (Opera binary markup language) kupitia server yao kabla ya kufika katika simu yako.

Wewe nenda Katika maduka bainifu ya simu waambie nataka simu zenye uwezo kuanzia 3G utapata rundo...
Ila kwa sasa safi ni zile zenye Android OS kuliko Symbian.

Au kama wataka na iPhone, poa pia.
 
Mkuu uimara wa network signal hutegemea mambo mengi na si aina ya simu pekee...

Kuna mengi ya kuandika hapa lakini kwa kuwa sina muda labda nikushauri tu jaribu kutumia simu za kizamani 'kianalogia' badala ya hizi za usasa...

Kama watumia simu hizi za usasa basi jaribu kuchagua mfumo wa 2G pekee na si 3G au 4G...

Muda mwingi hakikisha simu yako ina umeme wa kutosha (chaji ya kutosha).
 
Simu zenye nguvu ni zozote zenye uwezo kuanzia 3G, H n.k. pia inategemea na mahali ulipo na mtandao wenyewe, aina sio case sana isipokuwa tu kama ungehitaji uimara au features nyingi.

Sijui umetumia maarifa yapi kuandika haya lakini nadhani maelezo yako yana mushkeli...
 
Swenti naona kama umenishawishi. Anyway swali pina mantiki na hapa pia tunasaidiana na kuuliza sio ujinga. From my experience na smart phone kuna vitu kadha vinahusika. Aina ya mtandao, umbali na congestion ya server, aina ya simu na originality yake.
 
Ila pia wakati tunapomsaidia ndugu yetu hapa na sisi tukisaidiana pia tuunganishe na aina ya simu zinazokaa na charge muda mrefu. Althoght najua utumiajia na kufungulia internet data vina mchango wa kutumia charge. KARIBUNI WADAU.
 
hv mnakumbuka sim zile zenye mikonga zilikuwa na performance nzur kweny low network
 
Mwaka 2000/1 nilikuwa natumia Sony na Motorola, zote zilikuwa na mkonga

mkuu lakini zilikuwa na utofauti kidogo na ukizingatia hiyo past tym kulikuwa hakuna network nzur hat kidog
 
Yes nakumbuka miaka ile nilikuwa nafanya kazi national park mnara ulikuwa kama 50km toka pale nilipokuwa, lakini tulikuwa tunapata network japo kwa kuvizia
 
Cjui km jibu lako ni la kiufundi maana mm sio mtaalam sn wa hayo mambo, nitakupa mfano, last December nimeenda kijijini nikiwa na cm yenye 3G na nyingine haina, lakini cm ile ya kawaida network yake ilikuwa stronger kuliko ile ya 3G...ila muuliza swali aliuliza aina ya simu ww ume-categorize according to networks

Maxthon browser is the best
 
Back
Top Bottom