mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Nimekusoma mkuu!...Je kwa mtizamo wako unaona Boko haramu ni watetezi wa Uislam au ni kikundi cha wauni tu?Marekani wamechelewa sana kuchukua hatua hii wasakwe haraka sana hata ikibidi wakiuawa sawa tu! watu wanaua watu wasio na hatia wakkristo wakiwa makanisani! Al-shabab nao wanashugulikiwa, A-qaeda wanafuatiliwa! kwamba nigeria haitakalika? kwani kuwaacha ndio inakalika?? Vunja uti wa mgongo wa Boko Haramu!
Hapo kwenye bold....sijawahi sikia hawa watu wanajificha misikitini ila mara nyingi nasikia hawa watu wanaishi porini naWatunguliwe tu ni wauaji hawa. Wafutiliwe mbali. Al- shababu, Al- Qaida, Al- Boko haramu ( Na kwa nini majini yao yanaanzia na Al Al tu?) Wanachafua dini ya kiislamu hawa. Wafatwe kote hata kama wamejificha misikitini. Nina imani Obama ataweza kazi hii. Mzigo mzito mpe mjaruo.
Nimekusoma mkuu!...Je kwa mtizamo wako unaona Boko haramu ni watetezi wa Uislam au ni kikundi cha wauni tu?
Mkuu, sijakusoma kabisaWahuni watatangazaje vita ya JIHAD? Kwani Jihad ni ya wahuni au ya....?
Ni Kikundi cha wahuni wanaotumia mwavuli wa dini najua uislamu siku zote unahubiri amani upendo na kuvumiliana sina utalaam sana na maandiko ya kiislamu ila nina uhakika hakuna uislamu unposema uchome makanisa, uue wakkristo na kuhamasisha vitendo vya kihalifu hao ni wahuni na magaidi ila wamevaa ngozi ya dini!!Nimekusoma mkuu!...Je kwa mtizamo wako unaona Boko haramu ni watetezi wa Uislam au ni kikundi cha wauni tu?
Jamani siku mbili zilizopita Serikali ya Marekani imetangaza kuwa imewaweka viongozi 3 wa kikundi cha Boko haramu
cha Nigeria kwenye list ya most wanted people in the world...watawasaka kwa udi na uvumba mpaka wawashike no
matter wakiwa hai au wamekufa lakini wanawahitaji tu. - Sasa maswali yangu ni
1.Kwanini ni Boko haramu tu? mbona hawakutangaza hivi kwa Al-shabaab ya somalia while wote ni magaidi?
2.Je ikatokea wamefanikisha kuwakamata na kuwauwa au kuwafunga maisha, Je Nigeria itakalika salama? au
ndiyo itakuwa mwanzo wa vifo vingine kutoka kwa Boko haramu?.
3.Je ni kweli Boko haramu ni watetezi wa dini ya kiislamu huko Nigeria au ni kikundi cha wahuni tu?
Kwa wale wataalamu wa mambo ya kidiplomasia naombeni mnijuze Saga hili kwa faida yangu na wanaJF wengine.
Shukrani....na nawasilisha
Nimekusoma mkuu!...Je kwa mtizamo wako unaona Boko haramu ni watetezi wa Uislam au ni kikundi cha wauni tu?
Unauliza kama ni Boko Haram peke yake? Mbona muda mrefu Marekani imekuwa inawasaka Al Shabab kule Somalia kwa kutumia drones? Unakumbuka yule Mkomoro aliyekuwa Al Qaida aliyetafutwa kwa muda mrefu? Mbona alitunguliwa na kamzinga ka drone huko Somalia? Hawa magaidi kila wanakochipuka ni kuwatungua tu kwa sababu wakiachiwa washamiri wanatoa fursa kwa Al Qaida kujiimarisha.
Sijasikitika mkuu, ila nimeuliza ili nijue haya mambo....maani ni very complecatedwatafutwe na washikwe, acha marekan iwasake,kipi kikusistishacho
Jibu la hilo swali linategemea uko upande gani. Kwa asiye muislam, ni wazi kabisa kwa akili ya kawaida kuwa kufanya ugaidi kwa kisingizio cha kuisafisha dini yao na ukafiri ni upuuzi na hakiupi uislam heshima mbele ya ulimwengu.
Lakini ukiwa muislam ni stori nyingine. Kuna baadhi wanaona Boko Haram, au al qaeda, au taleban, ni wakombozi, mashujaa, watu wenye ujasiri wa kusimama dhidi ya ukafiri wa kikristo na kimagharibi. Ukipita pita kwenye mitaa ya hata hapa kwetu yenye waislam wengi, mfano Zanzibar, ni kawaida kuona vijana wakiwa wamevaa t-shirt zenye picha ya Osama bin Laden kama ishara ya kumuenzi. Gaidi anaenziwa.
Kwa hiyo usiwasemee waislam au dini ya kiislam. Waislam walio wengi ni watu wa kawaida, kama sisi, kama wewe, wanawaza mkate wao wa siku kama watu wengine, wanawaza kusomesha watoto wao kama watu wengine. Lakini baadhi yao si watu wa kawaida, hawa wanawaza siku uislam utakapokuwa majority ulimwenguni, siku sharia itakapotawala, na hawa wapo tayari kufanya lolote ikiwemo kulipua vijana wao ili kutekeleza maluweluwe yao vichwani.