Ni sawa Malipo haya?

Ni sawa Malipo haya?

nyamandu

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Sasa hivi kuna kikao kinaendelea hapa H/Shauri ya Meru cha Madiwani wa sisiem. Kinaitwa 'Kikao cha chama' ambacho hufanyika kabla ya Full Council. Cha ajabu ni kwamba hulipwa Posho ya 'kukaa' kikao cha chama. Malipo ya posho hizo hulipwa na H/shauri (haipo kwenye bajeti). Je! haya ni matumizi sahihi ya fedha za walipakodi?
 
Back
Top Bottom