Perfomance ya Eto'o iko vizuri na inaimarika siku hadi siku!
Ni vema aongezwe mkataba na pia kuna mengi Zaidi mazuri Huyu Eto'o anaweza akafanya! Tutegemee kumuona akijituma Zaidi. Na pia ukita ujilizishe Zaidi unaweza ukayatafuta maelezo ya Mourinho uone alisema Nini baada ya game ya Man Utd Kati ya Eto'o na Torres?