NDIOSwali langu kwenye wana Jamii Forum ni sawa kwa Rais kushukuriwa, kutajwa na kutukuzwa kwenye kila jambo?
Lakini Katiba hii ipo tangu mwaka 1977Katiba yetu unampa uwezo wa Kimungu.
Duh π hiyo itakuwa too much π πNapenda kumshukuru raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kwa kunisaidia kukomenti hapa
Duhhiyo itakuwa too much
Unafiki na kujipendekezaLakini Katiba hii ipo tangu mwaka 1977 !
Hii maneno ilikuwa haiko kama hivi ...
Hii ilikuwepo hata enzi za Mwalimu Nyerere ikaja kupotea enzi za "Rukhsa" na Ben, Kikwete mwenyewe alikuwa hamaindi sana kusifiwa sifiwa.Lakini Katiba hii ipo tangu mwaka 1977 !
Hii maneno ilikuwa haiko kama hivi !
Hii imeanza miaka ya hivi karibuni. !
Kwanini imekuwa hivyo hata mimi sielewi mantiki yake ni nini !!
Lakini nadhani wenyewe wanajua ni kwanini wanafanya hivyo ila wengine huwa hawajui ila wanafuata mkumbo tu !!
Mwendazake ndio aliamua kuitumia vilivyo.Hii mpya bro
Nakubaliana na weweWengi wanaofanya hivyo ni wale wanaojikomba ili waendelee kubaki kwenye madaraka au waonekane ili wapate uteuzi na kundi la pili ni wale wenye nidhamu ya woga wakidhani wasiposema hivyo wataonekana hawana adabu ama hawana shukrani.
Hawa wote ni wagonjwa wa akili wanahitaji tiba.