Kokubanza-G
Senior Member
- Oct 2, 2013
- 111
- 23
Mahusiano huwa yanapendeza sana pale mwanaume anapompenda mwanamke na kumtimizia yote kadiri ya uwezo na pia mwanamke kumpenda, kumtii na kumsikiliza mumewe japo na yeye mwanamke pia husikilizwa. Muhimu zaidi ni kupendana na si kuangalia umri. Kama ni umri wala asingekupenda. IN LOVE AGE IS JUST A NUMBER.
Kokubanza-G labda nikupe hints chache tu labda zitasaidia:
1.Mwanamke mara nyingi anawahi kuzeeka kwa sababu mbalimbali kama vile kuzaa,dio maana inapendekezwa mume kuwa walau mkubwa kuliko mkewe kwa miaka kadhaa.
2.Haiko sientifically proved lakini insemekana watu wanaooana umri mmoja mara nyingi heshima huwa kidogo sana au hamna kabisa,nina afiki zangu kama wawili hivi walioexpirience hilo jambo.
3.Kwa kuwa mume nidye apaswa kuwa kichwa cha famili inapendeza angalau awe amemzidi mkewe miaka kadhaa ili kumheshimu mume kuonekane kihalisi kwamba yeye ni mkubwa kwako si kifamilia tu bali hata umri.
Hizo ni facts chache tu zihusuzo mahusiano ya watu ambayo huenda yakaishia kwenye ndoa lakini umri wanaendana,lakini hizo zisikupe presha na kiwewe,si mara zote mabo yaweza kuwa hivyo.
so kaa chini ufikirie pande zote mbili na kisha ufanye maamuzi sahihi ili usije jutia maisha yako ya ndoa.
Sasa mbona yule jamaa kamuoa bibi?
Wazima jamani,its time to start a new relationship now.Kuna boy mmoja ivi ametokea kunipenda and the way i see sioni tatzo kwa kaka wa watu,ila ishu ni umri sasa tunalingana wote tupo 26.Sjawai kua na bf ambae tunalingana umr kiukweli na ktu nnachofkiriaga naona kama haiwezekani kumake future.Em nsaidien jaman kama fikra zangu ni sahihi ama sivyo??
Kokubanza-G labda nikupe hints chache tu labda zitasaidia:
1.Mwanamke mara nyingi anawahi kuzeeka kwa sababu mbalimbali kama vile kuzaa,dio maana inapendekezwa mume kuwa walau mkubwa kuliko mkewe kwa miaka kadhaa.
2.Haiko sientifically proved lakini insemekana watu wanaooana umri mmoja mara nyingi heshima huwa kidogo sana au hamna kabisa,nina afiki zangu kama wawili hivi walioexpirience hilo jambo.
3.Kwa kuwa mume nidye apaswa kuwa kichwa cha famili inapendeza angalau awe amemzidi mkewe miaka kadhaa ili kumheshimu mume kuonekane kihalisi kwamba yeye ni mkubwa kwako si kifamilia tu bali hata umri.
Hizo ni facts chache tu zihusuzo mahusiano ya watu ambayo huenda yakaishia kwenye ndoa lakini umri wanaendana,lakini hizo zisikupe presha na kiwewe,si mara zote mabo yaweza kuwa hivyo.
so kaa chini ufikirie pande zote mbili na kisha ufanye maamuzi sahihi ili usije jutia maisha yako ya ndoa.
uko sawa kabisa; hakuna furaha kama mke wako kukusalimia shikamoo baba. nawe ukajibu marhaba mamaa - hujambo. wanaolingana wanasalimiana mambo / he vipi utafikiri wahuni flani vile
ni kweli ndugu yangu raha ya hivo vitu ujue kabisa mumeo ni mkubwa kwako na unamheshimu kama ambavyo ungemheshim kaka yako au yeyote aliyekuzidi umri.