Cim ndio nini mkuu?Hapa naomba tusaidiane wazazi,ni umri gan sahihi kumpa cim mtoto.
Nini mtzamo wako katika dunia hii ya Leo ya ukuaji mkubwa na mawasiliano.
Miaka 18
Nafikiri ndio umri ambao mtu anaruhusiwa kumiliki lineMiaka 18 bado haitoshi mkuu...apo itategemeana na kama kijana kapevuka na anajua anachokifanya na pia itategemeana na jinsia pia na ulazima wa kutumia simu
ni sahihi, mimi nimemiliki simu tokea standard 7 kama sio 6, pamoja na laptop ila nimesoma na sikuharibikaHapa naomba tusaidiane wazazi,ni umri gan sahihi kumpa simu mtoto.
Nini mtzamo wako katika dunia hii ya Leo ya ukuaji mkubwa na mawasiliano.
Nafikiri ndio umri ambao mtu anaruhusiwa kumiliki line
hapana mkuu, maisha yale ya afadhali tuWa kisure
ni sahihi, mimi nimemiliki simu tokea standard 7 kama sio 6, pamoja na laptop ila nimesoma na sikuharibika
Kumiliki laptop under18 ci jambo dogo
mkuu, maisha ya chini tu, sasa mimi nimepewa hivo wenzangu niliosoma nao walikuwa wameshaanza kuvitumia,watu walikua na psp, ipod na makorokocho mengine mengiApo yatia ukakasi kuamini mkuu...labda kama umekulia familia yenye maisha mazuri (kifedha),
Hongera pia,
simu sikuhizi cheap mkuu, kweli wakoswe hata elfu 30 mbagala nzima ?Ninavyojua
Mfano wazazi wa mbagala huwo uwezo hawana wa kumnunua simu mtoto wao wanakuja kushtuka mtoto wao kapata mimba
Labda ukoo masaki -kinondoni n.k
hivi hunazani wanakosa sio hivyo but ela inaenda kwenye maisha ya kila siku ya familiasimu sikuhizi cheap mkuu, kweli wakoswe hata elfu 30 mbagala nzima ?