Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,305
- 8,655
Chloride ya nini?chloride
Chloride ya nini?chloride
hahaaaaMm ninachojua hayana chumvi wala magadi ni maji ambayo hayajagusa laana ya ardhi ukinywa ni burudani kabsaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
ardhi ina laana gani zinazoweza kufanya maji yasiwe mazuri kwa matumizi?Mm ninachojua hayana chumvi wala magadi ni maji ambayo hayajagusa laana ya ardhi ukinywa ni burudani kabsaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
ardhi ina laana gani zinazoweza kufanya maji yasiwe mazuri kwa matumizi?
kijiografia: maji ya mvua yanatokea wapi na kabla ya kufika kwetu yanapitia nini na nini huko hewani? hapo ukiacha hizi bati na gata tunazo tumia kukusanyi maji ya mvua!
Maji ya Mvua ni maji yenye kila kigezo cha USAFI yanafaa Kwa kunywa na matumizi mengine ya nyumbani Kwa sababu ni product ya mwisho ya Moshi, mvuke n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
EvapolationMimi nilimuelewa kwa mtazamo usio wa kisayansi. Wengi wetu tunaongozwa na ladha zaidi katika vyakula kuliko virutubisho ama usalama wake. Ninakumbuka sisi tuliokulia vijijini,baadhi ya maeneo maji ni shida sana. Yale mnayopata ya visimani si ajabu yakawa na chumvi sana ama machafu sana. Hivyo, maji ya mvuo yalikuwa ni mkombozi. Hapo usitushangae tukisema mvua ni pepo au baraka na yale ya ardhini/ardhi ni laana.
Kumbuka hapo si kisayansi, ukianza kuchambua utakuta hayo ya mvua pia yametoka ardhini, kwa maana ya ule mzunguko.
Evapolation