Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,590
- 31,139
Sina mpango wa kuowa kwahiyo siwez kukujibu Kwa limit ya swali ulilonipaMpwayungu Village wewe unaweza kuoa mwanamke wa wapi?
GoodSina mpango wa kuowa kwahiyo siwez kukujibu Kwa limit ya swali ulilonipa
Nakazia watu n wale wale wa fb ndio yupo mtaani hakuna watu wa fesibukuWatu ni walewale mkuu, tena huyohuyo unaweza kukutana naye Facebook, Jf, Instagram na kwenye daladala....so ni maridhiano tu
Wakatae ndoaGood
Unawashangaa wanaooa wanawake wa facebook ulikuwa unapendekeza waoe kutokea wapi?
Soma majibu ya ManeWadau Naomba maelekezo, ivi Kwa mwanaume timamu anaweza akaowa mwanamke wa kimtandao??
Kuna mshikaji wangu ameyakanyaga kaowa Dada wa Facebook ahsee [emoji23][emoji23][emoji23], ila washamba bado wapo yani unamkuta mdada Facebook hamjuani mnakutaka baada ya mwezi unaowa ivi unaakli?
Ni kweliNakazia watu n wale wale wa fb ndio yupo mtaani hakuna watu wa fesibuku
SureWatu ni walewale mkuu, tena huyohuyo unaweza kukutana naye Facebook, Jf, Instagram na kwenye daladala....so ni maridhiano tu