Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
nadhani inategemea walikua pamoja kivipi na walikaa muda gani, tangu viishe ni muda gani, uhusiano wao leo ni upi etc.
Kumuoa sio kosa (sababu refiki yako alishindwa anyway) ila unataka uishi na mpenzi wako kwa amani. Rafiki pia muhimu ila sio kama mke wako. urfiki unakuja na unaisha.
Sasa fikiria kama mke wako bado anahisia kwa rafiki, au rafiki anampenda mke wako, itakuwaje? haya, fikiria kama hawasikilizani, inakuwaje? au wanasikilizana ila hawapo kabisa comfortable kama wakiwa pamoja, inakuwaje? situation ingine ni kama mke wako aliwahi kutoa mimba ya rafiki yako, rafiki yako atawaonaje watoto wako atakapo kua anakuja kukutembelea?
Kuna maswali mengi hapo utakosa jibu, kwa hiyo kama unaweza jitafutie wakwako, ila kama penzi lenu lina nguvu sana basi mtashinda hayo yote na kuishi kwa furaha na amani.
Ndio hivo. na nimesema kabisa, kama mtu anaona atakosa amani kwa vitu vidogo vidogo kama hivo bora aache. Kumbuka rafiki ni ndugu, kuna wakati upo safarini na rafiki anakusaidia vitu vidogo vidogo kama kupeleka gari garage,a u kusaidia kuna mtu kaumwa ghafla nyumbani, tena usiku etc. sasa kama humuamini rafiki yako ni bora uachane nae kama rafiki au usmuoe huyo mwanamke. itakua vigumu sana kuendelea nao wote.Hapo kwenye red hapo ndo mtihani kwangu. nahisi kama rafiki kakutembelea hasikukute then wife anakueleza jamaa amekusubiri sana tumekula, ameondoka kasema atakuja baadae. siwezi kuwa na amani ingawa ni ngumu kulalamika ikwa ulioa ukielewa uhusiano waliokuwa nao zamani.
Ndio hivo. na nimesema kabisa, kama mtu anaona atakosa amani kwa vitu vidogo vidogo kama hivo bora aache. Kumbuka rafiki ni ndugu, kuna wakati upo safarini na rafiki anakusaidia vitu vidogo vidogo kama kupeleka gari garage,a u kusaidia kuna mtu kaumwa ghafla nyumbani, tena usiku etc. sasa kama humuamini rafiki yako ni bora uachane nae kama rafiki au usmuoe huyo mwanamke. itakua vigumu sana kuendelea nao wote.
Well, the "wrong" is not a moral wrong, it is the risk of their personnal history interfering with your marriage. I propose he ends of one of the two relations (preferably the friendship) and saves the other...I don't see nothing wrong