sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,098
- 8,727
Mh waziri mkuu najua muda huu umelala,pengine kama imempendeza mungu umekumbatiwa na mwandani wako uliyemchagua atulize moyo wako,akuliwaze majira kama haya,
Nami nikujuze kuwa ni muzima ila sina hali kama yako,kwa maan mwenzangu umesinzia ila mi ni macho najipanga kutimiza wajibu wangu wa maendeleo kwa nchi yangu,nitumapo salamu hizi niko mkoani morogoro pahala panaitwa ruaha hapa nipo ktika ofisi za chama cha ushirika chaitwa udzungwa saccos kama mmoja wa mawakala wa tume ya maendeleo ya ushirika nchini,ninao kuwa nao muda mwingi n wakulima wa muwa na mpunga.hapa mimi ni ninatoa huduma ya recovery na elimu kwa wanachama salamu zangu kwako ni kukuomba ww waziri mkuu walau utenge muda uje morogoro uone ni kwa kiasi gani nchi imeebiwa na wawwkezaji wa viwanda vya sukar nchini kwa kuwanyonya wakulima,yani kinacho endelea hapa hakina tofauti na mtwara mh waziri mkuu ebu njooo ujioneee km kweli wataka kumuinua mkulima