Spika na Bunge kwa ujumla wanastahili pongezi kwa kutoa adhabu Kkali kwa Luhaga Mpina

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
3,683
10,545
Wakuu narudia tena, mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu mchapa kazi wa wakati huo Edward Lowassa aliundiwa zengwe na wabunge wahuni akina Arison Mwakiembe.

Spika wa wakati huo Samweli sitta bila kutafakari akawapa go ahead wahuni hao kutangaza uongo wao na kama kawaida ya uongo unaposemwa sana hugeuka kuwa ukweli.

Mh Lowassa akaona isiwe tabu akaachia madaraka na mwisho tukakosa kiongozi makini kwa sana kisa maneno ya kutunga.

Sakata na Mpina na Bashe ni mwendelezo wa mapambano dhidi ya viongozi wawajibikaji. Bashe ndiyo waziri pekee wa kilimo aliyeshawishi kilimo kitambulike na kithaminiwe tofauti za serikali za Marais wengine.

Wakati wa Samia Bashe ameishawishi serikali iongeze bajeti ya wizara ya kilimo katika kiwango ambacho hakikuwahi kuwepo.

Katika kipindi Cha Bashe uzalishaji wa mazao ya chakula na yasiyo ya chakula umekuwa mkubwa hali iliyopelekea wakulima kuimarika kiuchumi na kuliingizia taifa pesa nyingi za kigeni.

Katika kipindi Cha Bashe Mbolea ya ruzuku imetolewa kwa wingi na wakulima wamenufaika moja kwa moja na Mbolea hii tofauti na kipindi Cha nyuma ambapo Mbolea hii haikupewa umuhimu mkubwa.

Wakulima wamefaidika moja kwa moja na kilimo kwa kuuza mazao yao popote pale bila kuingiliwa na serikali. Project za BBT ni moja ya mapinduzi makubwa ya kilimo tatizo watanzania baadhi wanapenda short cut, yaani wanataka matokeo ya overnight kitu ambacho hakipo kwenye kubuild strong foundation lazima uwekeze muda, mtaji na elimu.

Kwa ufupi Bashe amekuwa mwalimu na kiongozi kwa wakati moja. Anatufundisha namna ya kuondoa matatizo kwenye kilimo na pia anatuonesha namna ambavyo kilimo kinaweza kutupa mwelekeo sahihi kwenye maendeleo ya uchumi wa kijani na viwanda.

Suala la sukari limeshughulikiwa kwa namna ya kisomi sana kipindi hili Cha Bashe Yale maswala ya kuvamia maghala ya wafanya biashara na kupora sukari zao hayapo tena wakati huu.

Sukari ilipoonekena Kuna michezo michafu aliwaita wazambazaji waseme tatizo Nini walipoonekena wanaleta ujanjaujanja akaondoa vibali vyao na kutafuta watu walio tayari kuleta sukari.

Hivyo jamaa ameifanya wizara iheshimike kuanzia watumishi wa Wizarani, maafisa ugani kwa kuwapa usafiri mpaka mkulima kuuza mazao yake bila kuingiliwa na vyama vya ushirika.
 
Raia wa Tanzania mwenye asili ya home kwa kundi la ugaidi duniani Al shabaab 🤔🤔

Hongera kwa kutuletea Ushuuzi.🤣🤣
 
Huna unalolijua zaidi ya Uchawa. Shida ya Watanzania siku hizi nikuandikiwa maneno na Watuhumiwa Kisha wanatumwa kuyaleta Kwa Umma.

Siku yakifukuliwa na Madudu ya Mbolea ya Ruzuku watakuandikia Tena utuletee humu utetezi wa kijinga!!

Njaa inaliangamiza Taifa
 
Wakuu narudia tena, mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu mchapa kazi wa wakati huo Edward Lowassa aliundiwa zengwe na wabunge wahuni akina Arison Mwakiembe.

Spika wa wakati huo Samweli sitta bila kutafakari akawapa go ahead wahuni hao kutangaza uongo wao na kama kawaida ya uongo unaposemwa sana hugeuka kuwa ukweli.

Mh Lowassa akaona isiwe tabu akaachia madaraka na mwisho tukakosa kiongozi makini kwa sana kisa maneno ya kutunga.

Sakata na Mpina na Bashe ni mwendelezo wa mapambano dhidi ya viongozi wawajibikaji. Bashe ndiyo waziri pekee wa kilimo aliyeshawishi kilimo kitambulike na kithaminiwe tofauti za serikali za Marais wengine.

Wakati wa Samia Bashe ameishawishi serikali iongeze bajeti ya wizara ya kilimo katika kiwango ambacho hakikuwahi kuwepo.

Katika kipindi Cha Bashe uzalishaji wa mazao ya chakula na yasiyo ya chakula umekuwa mkubwa hali iliyopelekea wakulima kuimarika kiuchumi na kuliingizia taifa pesa nyingi za kigeni.

Katika kipindi Cha Bashe Mbolea ya ruzuku imetolewa kwa wingi na wakulima wamenufaika moja kwa moja na Mbolea hii tofauti na kipindi Cha nyuma ambapo Mbolea hii haikupewa umuhimu mkubwa.

Wakulima wamefaidika moja kwa moja na kilimo kwa kuuza mazao yao popote pale bila kuingiliwa na serikali. Project za BBT ni moja ya mapinduzi makubwa ya kilimo tatizo watanzania baadhi wanapenda short cut, yaani wanataka matokeo ya overnight kitu ambacho hakipo kwenye kubuild strong foundation lazima uwekeze muda, mtaji na elimu.

Kwa ufupi Bashe amekuwa mwalimu na kiongozi kwa wakati moja. Anatufundisha namna ya kuondoa matatizo kwenye kilimo na pia anatuonesha namna ambavyo kilimo kinaweza kutupa mwelekeo sahihi kwenye maendeleo ya uchumi wa kijani na viwanda.

Suala la sukari limeshughulikiwa kwa namna ya kisomi sana kipindi hili Cha Bashe Yale maswala ya kuvamia maghala ya wafanya biashara na kupora sukari zao hayapo tena wakati huu.

Sukari ilipoonekena Kuna michezo michafu aliwaita wazambazaji waseme tatizo Nini walipoonekena wanaleta ujanjaujanja akaondoa vibali vyao na kutafuta watu walio tayari kuleta sukari.

Hivyo jamaa ameifanya wizara iheshimike kuanzia watumishi wa Wizarani, maafisa ugani kwa kuwapa usafiri mpaka mkulima kuuza mazao yake bila kuingiliwa na vyama vya ushirika.
The guilty are always afraid
 
Bashe ni Takataka...hana mipango hizo BBT alizoanzisha zinasahidia nini,alichobadilisha ni kipi kwenye kilimo??, Watu wanatumia mitaji yao kuendesha Mashamba yao Sio hizo propaganda za Bashe.
Bashe alitakiwa kukamatwa tu akapigwa Risasi adharani Period.
 
Wakuu narudia tena, mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu mchapa kazi wa wakati huo Edward Lowassa aliundiwa zengwe na wabunge wahuni akina Arison Mwakiembe.

Spika wa wakati huo Samweli sitta bila kutafakari akawapa go ahead wahuni hao kutangaza uongo wao na kama kawaida ya uongo unaposemwa sana hugeuka kuwa ukweli.

Mh Lowassa akaona isiwe tabu akaachia madaraka na mwisho tukakosa kiongozi makini kwa sana kisa maneno ya kutunga.

Sakata na Mpina na Bashe ni mwendelezo wa mapambano dhidi ya viongozi wawajibikaji. Bashe ndiyo waziri pekee wa kilimo aliyeshawishi kilimo kitambulike na kithaminiwe tofauti za serikali za Marais wengine.

Wakati wa Samia Bashe ameishawishi serikali iongeze bajeti ya wizara ya kilimo katika kiwango ambacho hakikuwahi kuwepo.

Katika kipindi Cha Bashe uzalishaji wa mazao ya chakula na yasiyo ya chakula umekuwa mkubwa hali iliyopelekea wakulima kuimarika kiuchumi na kuliingizia taifa pesa nyingi za kigeni.

Katika kipindi Cha Bashe Mbolea ya ruzuku imetolewa kwa wingi na wakulima wamenufaika moja kwa moja na Mbolea hii tofauti na kipindi Cha nyuma ambapo Mbolea hii haikupewa umuhimu mkubwa.

Wakulima wamefaidika moja kwa moja na kilimo kwa kuuza mazao yao popote pale bila kuingiliwa na serikali. Project za BBT ni moja ya mapinduzi makubwa ya kilimo tatizo watanzania baadhi wanapenda short cut, yaani wanataka matokeo ya overnight kitu ambacho hakipo kwenye kubuild strong foundation lazima uwekeze muda, mtaji na elimu.

Kwa ufupi Bashe amekuwa mwalimu na kiongozi kwa wakati moja. Anatufundisha namna ya kuondoa matatizo kwenye kilimo na pia anatuonesha namna ambavyo kilimo kinaweza kutupa mwelekeo sahihi kwenye maendeleo ya uchumi wa kijani na viwanda.

Suala la sukari limeshughulikiwa kwa namna ya kisomi sana kipindi hili Cha Bashe Yale maswala ya kuvamia maghala ya wafanya biashara na kupora sukari zao hayapo tena wakati huu.

Sukari ilipoonekena Kuna michezo michafu aliwaita wazambazaji waseme tatizo Nini walipoonekena wanaleta ujanjaujanja akaondoa vibali vyao na kutafuta watu walio tayari kuleta sukari.

Hivyo jamaa ameifanya wizara iheshimike kuanzia watumishi wa Wizarani, maafisa ugani kwa kuwapa usafiri mpaka mkulima kuuza mazao yake bila kuingiliwa na vyama vya ushirika.
Yaan unaongea hivyo kwa kuwa , umekosa uelewa na ufahamu wa maisha.Upo tu kama zuzu!! Zuzu lililovimvimbiwa posho za u chawa. Huna, uwezo wa, kufikiria philosophy za duniani. Huyo Spika sijui kama atarudi huko bungeni kwa kutetea uozo.
 
Mkuu punguza chuki.
 
Na ni waziri wa kilimo alie fanya maharage tununue 4000 na mchele 4000 na sukari 7000 kwa kilo na hicho kilimo kiliko ongezeka ni wapi mbona chakula hakuna maana km kingekuwepo bei ingekua chini waziri aliyekuwepo kipindi cha magufuli kwangu naona ndie waziri boraaa kabisa mchele kilo ilikua ef moja na mia mbili na huo ndo supa maharage 1800 mpaka 2200 sasa hapo tu utaona ubora wa waziri katika kuhakikisha wananchi wanapata chakula kwa bei himilivu
 
Back
Top Bottom