RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,035
- 7,781
Intelligence ya ccm ilitaka ku spin uchaguzi wa chadema siku mbili kabla Kwa maamuzi waliyofanya pale Dodoma!Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika!
Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina Lucas Mwashamba ChoiceVariable @Tlaatha na wengineo wameshindwa kazi.
Napenda kuwaambia Chama Cha Mapinduzi. Haya yanayotokea ni lazima yatokee kwa sababu wakati haupo upande wao.
Natembea mitaani, nazungumza na watu, kusema kweli uchaguzi wa CHADEMA umebadilisha sana fikra za watanzania na sasa wameanza kukiona CHADEMA kama chama kilichofuzu na kinachostahili kukamata dola.
Ni vizuri sasa wajiandae pia kuwa Chama Pinzani au kama wakilazimisha wajiandae siku kuwa na Serikali ya Mseto( Na hili ni endapo TISS wakiamua kuwabeba maana saivi TISS wameanza kupata akili na hawataki tena upuuzi wa wanasiasa wanataka mifumo imara ya kuendesha nchi)
Poleni sana CCM. Lissu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Lissu ni zawadi kwa Tanzania. Jueni tu Tanzania itaendelea kuwepo na itastawi zaidi bila nyie.
Kamdomo kazibeHuna hoja
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kwa taarifa yako kiongozi kama Tundu Lissu ameshatoka na kupita hiyo stage ya Self service ya kujikimu na kuhudumia familia yake kama unavyobainisha, Sasa hivi hatua aliyokuwepo ni Service to others na amedhamiria kwa nia ya dhati.Mtu ambae familia yake Iko Nje ya Nchi na ambae Huwa anakimbilia Kwa hao akizingua wewe unadhani ni nani?
Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina Lucas Mwashamba ChoiceVariable @Tlaathah na wengineo wameshindwa kazi.Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika!
Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina Lucas Mwashamba ChoiceVariable @Tlaatha na wengineo wameshindwa kazi.
Napenda kuwaambia Chama Cha Mapinduzi. Haya yanayotokea ni lazima yatokee kwa sababu wakati haupo upande wao.
Natembea mitaani, nazungumza na watu, kusema kweli uchaguzi wa CHADEMA umebadilisha sana fikra za watanzania na sasa wameanza kukiona CHADEMA kama chama kilichofuzu na kinachostahili kukamata dola.
Ni vizuri sasa wajiandae pia kuwa Chama Pinzani au kama wakilazimisha wajiandae siku kuwa na Serikali ya Mseto( Na hili ni endapo TISS wakiamua kuwabeba maana saivi TISS wameanza kupata akili na hawataki tena upuuzi wa wanasiasa wanataka mifumo imara ya kuendesha nchi)
Poleni sana CCM. Lissu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Lissu ni zawadi kwa Tanzania. Jueni tu Tanzania itaendelea kuwepo na itastawi zaidi bila nyie.
Mbona Mimi sio mtu wa propaganda Wala sio mwana CCM?Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina Lucas Mwashamba ChoiceVariable @Tlaatha na wengineo wameshindwa kazi.
Harvest,mchaga never get harvestedWamepanic kivipi wakati they think about how to harvest 48.5% CDM members ambao hawajampigia Mbowe
We unafikiri wachaga watamuachia Lissu kilaini laini
Wamuachie mara ngapi? Amesha achiwa hadi hapoWamepanic kivipi wakati they think about how to harvest 48.5% CDM members ambao hawajampigia Mbowe
We unafikiri wachaga watamuachia Lissu kilaini laini
Tofauti na hiyo proof Kuna kipi tena
Sio proof ni ngonjera, kwa logic yako kila mtanzania alie na familia nje ni kibaraka?Tofauti na hiyo proof Kuna kipi tena unataka?
Kama ngonjera za DP World imekataza kujenga Bandari zingine au siyo? 😁😁Sio proof ni ngonjera, kwa logic yako kila mtanzania alie na familia nje ni kibaraka?
Man hoja nyepesi sana, bado huna fact huna proof
Unamaanisha wajumbe 400+?Wamepanic kivipi wakati they think about how to harvest 48.5% CDM members ambao hawajampigia Mbowe
We unafikiri wachaga watamuachia Lissu kilaini laini
Mkuu nijibu kamdomo umepunguza au bado kwanza ndo tusonge mbele

Tanzania bila CCM inawezekanaSasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika!
Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina Lucas Mwashamba ChoiceVariable @Tlaatha na wengineo wameshindwa kazi.
Napenda kuwaambia Chama Cha Mapinduzi. Haya yanayotokea ni lazima yatokee kwa sababu wakati haupo upande wao.
Natembea mitaani, nazungumza na watu, kusema kweli uchaguzi wa CHADEMA umebadilisha sana fikra za watanzania na sasa wameanza kukiona CHADEMA kama chama kilichofuzu na kinachostahili kukamata dola.
Ni vizuri sasa wajiandae pia kuwa Chama Pinzani au kama wakilazimisha wajiandae siku kuwa na Serikali ya Mseto( Na hili ni endapo TISS wakiamua kuwabeba maana saivi TISS wameanza kupata akili na hawataki tena upuuzi wa wanasiasa wanataka mifumo imara ya kuendesha nchi)
Poleni sana CCM. Lissu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Lissu ni zawadi kwa Tanzania. Jueni tu Tanzania itaendelea kuwepo na itastawi zaidi bila nyie.
Ni vizuri sasa wajiandae pia kuwa Chama Pinzani au kama wakilazimisha wajiandae siku kuwa na Serikali ya Mseto( Na hili ni endapo TISS wakiamua kuwabeba maana saivi TISS wameanza kupata akili na hawataki tena upuuzi wa wanasiasa wanataka mifumo imara ya kuendesha nchi)
Hoja za kujifariji hizi. CCM nchi nzima ina wanachama milioni 12.5 bado wale wapiga kura wapya inaowapata siku za kuelekea uchaguzi mkuu.Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika!