artificial intelligence ni deep sana unaongelea ipivitu kuji automate ni elimu ambayo kubwa sana na katika ulimwengu wa sasa nchi nyingi ndio zinawekeza katika technology ya Artificial intellegence kuendesha kila sector mfano jeshi hosipitali anga na vitu kibao.
sasa nirudi katika post yako siku zote tunatumia artificial intelligence bila kujua mfano unapotaka ku sign up katika website ukikosea tu kitu kidogo unapata alert kwamba kuna sehemu umekosea.
Tunapozungumzia automatic machines ni kuanzia kwenye design, logic mpaka coding(programming)
na hizi machine au wensite ndio hutoa updates za matukio mbali mbali mfano hali ya hewa au katika kufanya space exploration .
Unamaanisha AUTOPOSTER inayopost kwenye Mtandao wa kijamii kama FACEBOOk automatically?Ni program gani inayoweza kuwa inapost automatic, au kufanya mambo fulani kwa kujiongoza kama Robot, kwenye PC?