Kesi ya Lema ni nyepesi sana,isipokuwa ccm wanatamani jimbo la Arusha kwa muda mrefu sana,walikuwa wanatafuta vijisabbu ili wamdhoofishe Lema .mahakim wetu si nao ni njaa sana,mahakama zetu ni mojawapo ya sehemu zenye rushwa sana,unaweza kukuta wamepewa pesa majaji au mahakim kwenye akaunti zao,wakakubaliana kuwa kesi ya Lema watakuwa wanapiga danadana tu mpaka bc wale watesi wake waridhike.kama suala ni kutabiri kifo hata Lowasa kwenye kampeni wamemtabiria kifo watu wengi akiwemo akina Nape na Marehemu mch,Mtikila hwakuwahi kushtakiwa.kwahiyo hii ni mbwembe za wana ccm dhidi ya wapinzani