Ni nini kigezo cha mke anayefaa kuolwea?

Ni nini kigezo cha mke anayefaa kuolwea?

awe mwenye upendo,heshima,tabia njema na uvumilivu pia.,hivi vitasaidia sana katika kujenga ndoa yenu ikiwa ni pamoja na kuishi na ndugu wa mume,,,maana ndugu wa mume nao wana nongwa hao balaaa,kuhusu uzuri na shape sidhani kama kuna tija hapo na awe na utayari/uhitaji wa mume hapo zingatia na umri pia, lakini wakati unatafuta angalia kama nawewe sifa hizo unazo,lakini tunarudi palepale ,pamoja na sifa hizo mke mwema atoka kwa Mungu.
 
Kila mtu anavigezo vyake. There is no uniformity katika jambo hili na ndio maana hata wenye sura zisizovutia wameolewa na warembo wakabaki. Kigezo ni if u love her and how u get along with the lady.
 
Back
Top Bottom