Ni nini kigezo cha mke anayefaa kuolwea?

Ni nini kigezo cha mke anayefaa kuolwea?

MPIKUSASA

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
112
Reaction score
7
Salaamu wana JF,nakuja na wazo lingine likitaka ushauri wenu wa kina. Je ni ipi sifa nzuri zaida ya zote kwa mwanamke wa kuoa, je ni mwenye sura nzuri na maumbile yenye mvuto au ni mwenye tabia nzuri hata kama hana maumbile yenye mvuto?
 
awe na umri unaoruhu kuolewa, haya mengine mbwembwe tu...
 
awe mchapa kazi sana na awe mvumilivu wa shida na matatizo ya hapa duniani na pia awe mpole
 
hapa naona ambaye yupo tayari kuolewa na kukaa na mume ndio anafaa zaidi ya hapo ushuzi tu utakuwa unaendelea..
 
awe mchapa kazi sana na awe mvumilivu wa shida na matatizo ya hapa duniani na pia awe mpole
Hapo kwenye red jamani si utamuonea yaani hata ukichelewa kurudi nyumbani anashinwa kukuuliza lol
 
tabia njema,mzuri kiasi,mchapakazi namvumilivu!NOTE...asiyetumika sana sabu nayo inaboaga unakuta mchongo mkubwaaa hadi ucheze nakuta ndio ashtue bana!!all the best wapo kibao......
 
Salaamu wana JF,nakuja na wazo lingine likitaka ushauri wenu wa kina. Je ni ipi sifa nzuri zaida ya zote kwa mwanamke wa kuoa, je ni mwenye sura nzuri na maumbile yenye mvuto au ni mwenye tabia nzuri hata kama hana maumbile yenye mvuto?

Mkuu ni hisia zako tu. We ukiona demu anakuzingua kama mimi ninavyozinguliwa na P..... humu JF basi mtamkie tu neno, ila liwe la heshima.
 
Ni wewe ndio unajua unataka mke mwenye sifa zipi.
 
Back
Top Bottom