Ni nini hiki?.

Mpwidu

Senior Member
Apr 3, 2018
111
117
Naomba kufahamishwa anaejua hawa watu wanakuja inbox whatsap na kukuomba usave namba zao kwa kutazama status na mengneyo, leo nimetumiwa ujumbe na watu wawili tofauti ni wapi wamepata namba zangu na ni nini plan zao??
Screenshot_20220326-013519_GBWhatsApp.jpg
Screenshot_20220326-013431_GBWhatsApp.jpg
 
Hao wahuni wazee wa biashara za kitapeli za forever living, Global alliance n.k
Watakusumbua Sana, ikibidi futa tu namba zao
 
Back
Top Bottom