Ni nini hatima ya CUF Bara??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,595
Kwanaoikumbuka CUF wanajua ilipoanzia ni Tanzania Bara lakini ilipofika visiwani ikakuta wazanzibar wana hari ya mabadiliko ya kisiasa kutokana na utawala wa kidhalimu visiwani pamoja na umasikini uliotopea hivyo wazanzibar wakaona msaada wao nikuleta mageuzi ya kisiasa!!Na chama cha kuwakomboa walikiona ni CUF!
Turudi bara Hapa kwetu kiliongoza vizuri lakini kikiwa kinashindana na chama cha Mchungaji Christopher Mtikila!Na sera za Magabachori!Huku CUF kikajikita sehemu sehemu zenye waumini kiujanja ujanja huku na kule lakini kikawa kimekubalika misikitini hasa baada ya mhasisi kutoka na kuchukua Prof I.Lipumba lakini kikabaki nguvu yake na injini yake ikawa Zanzibar huku ikawa ni jarada (cover Book)Lakini wao bila kujijua kwamba shughuri zote zachama hicho zipo visiwani hata kimataifa kinatambulika visiwani!!
Sasa basi yote yamepita tayari kama chama kimoja cha CUF kilikubaliana na chama tawala kwamba lazima watengeneze serikali ya mseto!natayali Maalim Seif ni Makamo Wakwanza wa Rais wa Zanzibar(Katibu wa CUF)
Je Ni yeye pekeyake alistahili??Mwenyekiti wake yeye anafaidika vipi na maridhiano hayo??wakati wakupigwa mabomu walikuwa wote,I weje Zanzibar ndo wafaidike na mapinduzi haya??Kwa mantiki hiyo CUF Zanzibar wameshapoteza uwezo wakuihoji serikali kwani nawao wapo kwenye serikali na nivigumu pia kuihoji serikali ya Muungano kwani wameshakula yamini na CCM je huku bara watakuwa na nguvu zakuhoji serikali ya ccm wakati wenzao visiwani nipacha na CCM??Au ndo wameshapoteza mwelekeo?? je kuna sababu ya katiba kubadrishwa kutoa kipengele kinacho lazimisha ukianzisha chama ni lazima na zanzibar uwe na wanachama??
 
Kufa kifo cha mende huku!
 
Back
Top Bottom