Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

Nafsi yake inahangaika kutafuta mtu wa aina yake.....au labda yeye haoni haja ya mme mmoja..

Ok. Kwa nini inakuwa hivyo na ni nini suluhisho la kumsaidia?
 

Haswa !ya wezekana huyu jamaa anampa vitu vyote hivyo but hamheshim au hamsikilizi nk
So kujadili hili linahitaji uwe umesikiliza pande zote mbili.
Ujue udhaifu wa kila mtu
 

Well said.

Assume vyote hivyo anafanyiwa na ziada lakini tabia ndo kama hizo. Niaje?
 
Mwanamke kama huyu atakuwa hajui kusema Hapana wala kuwa na msimamo wa :A S thumbs_up: au :nono: katika maisha yake... na hivyo lazima uwe :confused2: ndipo uishi naye.... Vinginevyo, huyo mumewe ana udhaifu wa akili, anastahili viboko 6 kila asubuhi kwa siku 7.....
 
Kwa huyu mwenzetu nadhani anachohitaji kwa sasa ni maombi tu....... maana anamapepo.

Ila kukujibu swali lako na kwa ninavyoelewa mimi mwanamke anahitaji upendo wa dhati kutoka kwa mume wake.

Nakusoma mkuu. Ila sijui ni dhati ya namna gani . . .

Assume Maana mahitaji yote ya upendo wa kweli wa Agape anapatiwa . . . .
 
Every human being is unique, huwezi generalize nini mwanamke anataka. Utakachomfanyia au mpatia mwanamke mmoja, sio lazima mwanamke mwingine akiappreciate. Handle women individually.
FA,lakini kuna trait ambazo ni almost common kwa wanawake wote.
 
Kutakuwa na kasoro tu lazima yaani hayo yote afanye huyo mke na anagundulika na bado wako pamoja? mwanaume akifunguka utagundua tu lazima kuna kasoro mahala.
 

Katika suala hili unaweza kuuliza ni nini hakufanyiwa huyu binti tutafute majibu kwa muhusika, lakini ukweli halisi ni kama ulivyoandikwa na binti muhusika analikubali hilo.

Na hata tuki-assume kuwa haridhishwi, je kwa hao wanaume zaidi ya watatu anao wa maintain, ina ashiria nini?
 
FA,lakini kuna trait ambazo ni almost common kwa wanawake wote.

Sio kwa wanawake tu, common traits kwa wanawake na wanaume pia zipo achia mbali kwa animal kingdom. Ili kuwa unique, lazima common traits ziwe excluded.
 
Ili kujua jinsi ya kumhandle huyu binti inabidi tupate hadithi yake, yeye anasemaje?

Baada ya kupima story ya mwanamke na mwanaume, then itakuwa rahisi kufikiri namna ya kumhandle.

Just ask specific question, tutaleta majibu yake.
 
Dena mbona wengi wanapendwa na kubembelwa na hata kulambwa nonino lakini wapi wanatoka nje? kunani hapo?
 
Haswa !ya wezekana huyu jamaa anampa vitu vyote hivyo but hamheshim au hamsikilizi nk
So kujadili hili linahitaji uwe umesikiliza pande zote mbili.
Ujue udhaifu wa kila mtu

Hapo tu ndo panakuwa shida heshima iwe mbele mipesa na migari yako ni vya ziada tu havisaidii.

Kuna mtu mmoja mie niliexperience kwenye msiba (Mbulu) alikuwa jamaa anafanya halimashauri na ni mhasibu bana yule jamaa alikuwa na gari nzuri nyumba nzuri watoto wanasoma Arusha international school nk. sasa huyu jamaa kila ikitokea misiba anafika anaangalia daftri tu anaweka mchango tena si wakitoto mkubwa hasa na hakuna atakayeufikia halafu anakula lapa harusi hivyo hivy Mungu alimpa bonge ya kofi mkewe alifariki (R.I.P ) watu walimfanyia hivyo hivyo walikuwa wanakwenda kusign na kuondoka anashangaa kwani nini ndo mzee mmoja akamwambia unakosea omba msamaha kwa kijiji unavyofanya kwenye misiba ya watu ndo wamekufanyia uone kwamba pesa si zaidi ya utu kukaa kwenye msiba ni zaidi ya kutoa pesa. Alishika adabu.

So wanaume hatuhitaji pesa zenu bila utu wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…