Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

Superman kuna watu ambao wakiishaamua kufuata njia zao hata ufanyeje, hata uwape kitu gani nothing will change them.
 
Hii ndiyo sababu ya mambo anayofanya?

Assume alisomeshwa kiwango cha Advanced Diploma na wazazi . . . .

Hata hivyo swali la msingi halijajibiwa.


Hakuhitaji wewe (japo kwa sababu ya mali n.k.) anaweka asikubali ukweli huu....
Anahitaji mtu anayeendana na mtizamo wake....sio wewe...!
 
Mi nadhani tukishajua mwanaume anataka nini kwa mwanamke, basi ni rahisi kujua opposite request pia
 

Una uhakika kuwa anamlizisha kwa kila kitu?
 
hv inawzekana eeh? Huyo atakuw ni knguru na kngru hafugk! Achana nae cz yeye co samak pekee bhrn. Kscho rdhik hakilk. Jiweke pemben! Utakfa na Aids.

Nakusoma. Hata hivyo, unahisi ni nini hasa anahitaji?
 
Nakusoma. Je hao mahusiano na wanaume 3 au zaidi ana compatibility nao au hana?

Nafsi yake inahangaika kutafuta mtu wa aina yake.....au labda yeye haoni haja ya mme mmoja..
 
Kunipa kila kitu sio sababu hata unifanyie birthday kwenye ndege sitaridhika.

Mwanamke anahitaji:
Kupendwa hata kama yeye hapendi (kubali kataa lakini hiyo ndo hali)
Kudekezwa
Kubembelezwa hata kama amekosea yeye
Kuombwa samahani
Kuambiwa nakupenda sweet, baby na mengine
Kufanyiwa kila kitu na kuonyeshwa
Kujaliwa sana
Sita kwa sita pia imo
nk

Jamani tusikimbilie kuwafanyia vitu bila kuonyesha unajali, unampenda, unamuheshimu hasa katika maamuzi ndani ya nyumba,
Ndoa au mahusiano ni zaidi ya pesa za kunifungulia miradi na kunitafutia kazi.

Tunahitaji attention kubwa kutoka kwenu nyie wanaume kunipa magari na mabiashara yako si mali kitu kabisa bila kunijali.

Nitarudi
 
Every human being is unique, huwezi generalize nini mwanamke anataka. Utakachomfanyia au mpatia mwanamke mmoja, sio lazima mwanamke mwingine akiappreciate. Handle women individually.

Case ya huyu binti, unafikiri alikuwa anatakiwa awe handled namna gani?
 
Kwa huyu mwenzetu nadhani anachohitaji kwa sasa ni maombi tu....... maana anamapepo.

Ila kukujibu swali lako na kwa ninavyoelewa mimi mwanamke anahitaji upendo wa dhati kutoka kwa mume wake.
 

hakuna binadamu anaweza kumpa mwenzie kila kitu anachokitaka.....kusema anamridhisha kwa kila kitu kimapenzi,kihali,kimali si kweli....kuna kitu tu huyu dada hajakipata na pengine hampendi huyu kaka.....waweza fikiri unampa mtu kila kitu lakini si kweli....moyo na akili ya mtu kuridhika ni kazi sana.....ni ile tu kujiheshimu,kumuogopa Mungu na kuthamini maisha ndo maana baadhi wametulia ila si kuwa wameridhika na kila kitu!!!:washing:

sisi sote ni binadamu,wapo wanaume wanafanyiwa mengi yaliyo ndani ya uwezo wa wake zao lakini bado wanaume wanatoka ndani....mimi kama mwanamke nachohitaji ni rafiki wa jinsia ya kiume ninayempenda na nitakayejihisi kuwa salama mikononi mwake na mwenye uwezo wa kunifanya kuwa bora zaidi kwa familia na jamii yangu...:washing:
 
Superman kuna watu ambao wakiishaamua kufuata njia zao hata ufanyeje, hata uwape kitu gani nothing will change them.

Noted with thanks.

Kwa nini wanaamua kufanya hizo njia zao?
 
Kumbe Great Thinkers bado mpo....! I appreciated your thinking capacity....! Keep it up...
 
Case ya huyu binti, unafikiri alikuwa anatakiwa awe handled namna gani?

Ili kujua jinsi ya kumhandle huyu binti inabidi tupate hadithi yake, yeye anasemaje?

Baada ya kupima story ya mwanamke na mwanaume, then itakuwa rahisi kufikiri namna ya kumhandle.
 
Hakuhitaji wewe (japo kwa sababu ya mali n.k.) anaweka asikubali ukweli huu....
Anahitaji mtu anayeendana na mtizamo wake....sio wewe...!

Je, hao wanaume zaidi ya watatu wanao mtizamo wake?
 
Every human being is unique, huwezi generalize nini mwanamke anataka. Utakachomfanyia au mpatia mwanamke mmoja, sio lazima mwanamke mwingine akiappreciate. Handle women individually.

kweli Freema,watu wameshaweka theory wanawake wataka hela mara sijui nini.....kumbe tumetofautiana mahitaji na expectations za ki kila mwanamke ni tofauti na mwanamke mwingine...:juggle:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…