Ni nini hasa kinakukera?

Ni nini hasa kinakukera?

babylove

Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
59
Reaction score
5
kina kukera kwa kina dada au kina kaka wa TZ? Guys niliwamisi mno now I am back.
 
kina kukera kwa kina dada au kina kaka wa TZ? Guys niliwamisi mno now I am back.

Kupotea kwa babylove kulinikera sana.

Welcome back. Niko hapa Mwarubaini gesti haus nazimua.
 
Babylove swali lako sijui kama linajitosheleza ?
karibu sana sweetheart tulikumiss pia
 
Kama nimelielewa vizuri swali lako kinachonikera kwa akina dada ni kuvaa nusu uchi, na kwa upande wa akina kaka ni wale wote wanaosuka, kuvaa hereni na cheni kama akina dada bora wangevaa na magauni pia maana wanatakaka kushindana na urembo wa akina dada maana siamini kama hawavai shanga.
 
Hahaha aa!
Shanga......, Oooo shanga! hah haa kweli nimeamini Wanume hawa wanakukera kwelikweli.

Mimi Bwana Ma-duu wanaojichubua....... Aghaaaaa!!!!! Hata kama angekuwa na Figa kali na uzuri wa shetani. Ni BIG NOOOOOOO!!!!!
 
kina kukera kwa kina dada au kina kaka wa TZ? Guys niliwamisi mno now I am back.

Hivi Bebii huchokagi wala husikiagi kizunguzungu, maana kila nikifungua JF unazunguka, KIILa nikifungua JF unazunguka tu nahisi karibu utaishiwa damu. Haki ya nani kweli

But karibu sana wangu, nafikiria kuanzisha ERT( Emergency Rescue Team) maana nahisi katika hizi Avatar ndani ya JF.... ipo siku patakuwa hapatoshi.
 
aisee naketeka sna na jinsia yoyote pale inapo danganya:angry::angry:
 
Back
Top Bottom