Ni nini dalili za tatizo hili......Msaada

Ni nini dalili za tatizo hili......Msaada

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
6,933
Reaction score
9,034
Habari...

Ni kwa mda sasa nimekua nina tatizo ambalo naitaji kujua chanzo chake na ni dalili za tatizo au ugonjwa gani mana napata wasi wasi kidogo

Nikwamba......sehemu zangu baadhi za mwili huwa naexperience kucheza cheza kwa nyama sehemu za mikononi na tumboni sehemu za mbavuni......hapa mbavunu huwa nafeel kabisa kama kitu kina cheza cheza sana.....inatokea kwa dakika chache na kuacha.

Naombe wataalamu mnifumbue juu ya hili.

Ahsante.
 
Dalili za Neurosis hizo!
Sio tatizo kubwa ila kula sana vyakula vya asili hasa maparachichi, ndizi bokoboko (ili upate copper na carbon kwa wingi, ambavyo ni vyanzo vya umeme mzuri mwilini)na vyakula vyenye carbohydrate. Jifunze kutofautisha vyakula vya carbohydrate na starch.
 
Ahsante kwa ushauri mkuu

Usha wahi kwenda kwa mganga maan hii ni moja Ya outcome zake
Kuna ambaye hajakwenda zahanati kumwona mganga? Labda kama haumwi mwenzetu na hana utaratibu wa kujichunguza angalau mara moja kwa mwaka.
 
Mmmmmhhh yaaah nishawahi lkn sio kuroga
Alkupatia ilizi ukavaaa kma uliivaa njbu kuwa mwazi tusaidiane maan kuna msela wang ana hlo tatzo ila saiz yupo kwenye matibabu na hivyo vtu vinavyo tmbea vmepungua ktoka kila sku adi mara tatu au nne ivi kwa wiki kuwa mwazi usaidiwe
 
Nakushauri nenda hospital kapime ukiona huna tatizo lolote basi jua itakuwa una masi ya shaytwan inabidi usomewe Ruqya ya kisheria
 
Back
Top Bottom